"MESSI" WA SIMBA ATUA COASTAL UNION
Meneja wa timu ya Coastal Union,Akida Machai kushoto akimkabidhi Jezi ya Klabu ya Coastal Union winga mpya wa Kulia,Ibrahim Twaha "Messi"mara baada ya kusaini mkataba wa miaka miwili kuitumikia timu...
View ArticleKAMANDA WA POLISI DODOMA AKANUSHA UVUMI WA KIFO CHA ANAYEDAIWA KUPIGWA NA JOB...
Mgombea akiwa hoi baada ya kupingwa fimbo .............................................................................................................Jeshi la Polisi Mkoani Dodoma Limekanusha Uvumi...
View ArticleLOWASSA ACHUKUA FOMU YA KUWANIA URAIS KUPITIA CHADEMA LEO
Waziri Mkuu Mstaafu Mh.Edward Lowassa pichani akiwapungia wanachama na wafuasi mbalimbali wa chama cha CHADEMA waliofika kumshuhudia akiwa sambamba na Mkewe Mama Regina akiwasili makao Makuu ya chama...
View ArticleAGRA YAWANOA WAKULIMA WA IRINGA,RUVUMA NA NJOMBE LEO
WANOLEWA MKOANI NJOMBEFRANK MUHANDO NI MENEJA WA MRADI IBB NYANDA ZA JUU KUSINIMKURUGENZI MTENDAJI WA ACTN AFRIKA MHANDIS SAID MKOMWA HAWA NI WASHIRIKI WASHIRIKI WA MAFUNZO YA KILIMO HIFADHI...
View ArticleWALIOPEWA KADI ZA UANACHAMA CCM MITAANI BAADA YA JULAI 15 MWAKA HUU...
Katibu wa CCM Mkoa wa Njombe Bwana Hosea Mpagike Katibu wa CHADEMA Mkoa wa Njombe Alatanga NyagawaNa Gabriel Kilamlya NjombeChama Cha Mapinduzi CCM Mkoa wa Njombe Kimewataka Wanachama Wapya Ambao...
View ArticleKAGAME CUP LANYAKULIWA NA AZAM FC YA TANZANIA
AZAM FC MABINGWA WA KOMBE LA KAGAME 2015Kombe la Kagame walilotwaa Azam FC.(Picha zote na Francis Dande) Nahodha wa Azam John Bocco akipokea kitita cha dola za kimarekani dola elfu 30.Viongozi wa Azam...
View ArticleRAIS KIKWETE AREJEA BONGO BAADA YA ZIARA RASMI YA KISERIKALI NCHINI AUSTRALIA
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na mkuu wa Wilaya ya Ilala Mhe. Raymond Mushi katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam usiku wa Jumamosi Agosti 1, 2015 mara...
View ArticleWAZIRI MKUU MIZENGO PINDA KUFUNGUA MAONESHO YA NANE NANE KITAIFA MKOANI LINDI...
Pilikapilika za maandalizi ya Maonyesho ya Nane Nane kitaifa mwaka huu zimepamba moto ambapo Mgeni Rasmi katika maonesho hayo yatakayofunguliwa Jumatatu Agosti 3, 2015 anatarajiwa kuwa Waziri Mkuu wa...
View ArticleRAIS KIKWETE AFUNGUA BARABARA YA NDUNDU-SOMANGA YENYE UREFU WA KILOMETA 60...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe kuashiria ufunguzi wa barabara ya Ndundu – Somanga yenye urefu wa kilomita 60, hafla hiyo imefanyika jana Agosti 7 2015...
View ArticleTAMASHA LA UMOJA KWANZA LA UPLANDS FM RADIO SASA KUTUA LUDEWA AGOSTI 16 BAADA...
HAWA NI WATOTO WAKIBURUDIKA KUPATA USHINDI NA KUCHUKUA ZAWADI IKIWA NI MOJA YA KUVITAMBUA VIPAJI VYAOMAMA NYEUPE AKIWA ZUNGUMZA NA WAKAZI WA IKONDA WILAYA YA MAKETEKituo cha Uplands fm Radio Toka...
View ArticleKAMA KUCHUKUA FOMU INGEKUWA USHINDI WA URAIS BASI KWA UMATI HUU LOWASA...
LOWASA ACHUKUA FOMU yA URAISSehemuya Umati wa wafuasi wa Chadema uliofika kwenye Ofisi za Tume yaUchaguzi ili Kumsindikiza Mgombea wa Nafasi ya Urais kupitia CHADEMA,Edward Lowassa hii leo.Mgombea wa...
View ArticleWANANCHI NJOMBE WASHINDWA KUKUBALIANA JUU YA KUCHANGIA FEDHA ZA UZOAJI TAKA...
Na Ibrahim Mlele NJOMBEWakazi wa mtaa wa melinze Mjini Njombe wameshindwa kukubaliana na Mtendaji wao wa kata ya Mjimwema Bw Gerson Mbeyela juu ya mchango wa shilingi 1000 kwa mkazi wa kawaida na...
View ArticleBan Ki moon afanya maamuzi magumu
Babacar GayeKatibu mkuu wa umoja wa mataifa Ban Ki-moon, amesema amemfukuza mkuu wa kulinda amani toka UN nchini Afrika ya kati baada ya kutuhumiwa kuhusika na madai ya unyanyasaji wa watoto...
View ArticleKATA KATA KUENDELEA DODOMA,MAJINA YA WAGOMBEA UBUNGE KUJULIKANA AUGUST 13...
RAIS KIKWETE AONGOZA KIKAO CHA HALMASHAURI KUU MJINI DODOMA Mwenyekiti wa CCM Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete,Makamu Mwenyekiti Zanzibar Dkt.Ali Mohamed Shein,Makamu Mwenyekiti Bara Ndugu Philip Mangula...
View ArticleSIKU YA KIMATAIFA YA VIJANA DUNIANI YAADHIMISHWA KWA SHAMRASHAMRA NCHINI
Baadhi ya vijana kutoka shule mbalimbali wakiandamana kuingia katika viwanja vya mnazi mmoja wakati wa maadhimisho ya siku ya kimataifa ya vijana duniani iliyoadhimishwa leo jijini Dar es Salaam na...
View ArticleWATEKAJI NYARA WATAKA PESA ILI KUWAACHIA MASHEKHE WA TZ
Watekaji nyara wa mashekhe wa Kitanzania nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, wametaka wapatiwe kitita cha dola za Kimarekani ili wawaachilie huru mashekhe hao. Jumuiya ya Waislamu nchini Kongo DR...
View ArticleJESHI LA POLISI NCHINI LAPIGA MARUFUKU MAANDAMANO KWA WAGOMBEA URAIS WAKATI...
Na Lorietha Laurence –MaelezoJeshi la Polisi nchinilimesitisha maandamano ya wafuasi wa vyama vya siasa wakati wa kuchukua ,kutafuta wadhamini, na kurejesha fomu za kugombea nafasi ya Urais katika...
View ArticleOFISI YA TAIFA YA TAKWIMU YATANGAZA MATOKEO YA TAKWIMU ZA PATO LA TAIFA KWA...
Mkurugenzi wa Takwimu za Uchumi kutoka Ofisi ya Taifa ya Takwimu Morrice Oyuke akizungumza na waandishi wa habari leo Jijini Dar es Salaam wakati akitangaza matokeo ya takwimu za Pato la Taifa kwa robo...
View ArticleWAZAZI MATINEJA WAHITIMU ELIMU MBADALA
Second Secretary wa Ubalozi wa Japan, Noriko TANAKA (kulia) akipokea kitabu cha wageni kutoka kwa Mratibu wa kata ya Segese iliyopo halmashauri ya Msalala, wilayani Kahama Mkoani Shinyanga, Bi....
View Article