Mwenyekiti wa Njombe Press Club Mercy Sekabogo Akizungumza Katika Kikao Cha Wanahabari wa NPC
Wa Kwanza Kushoto ni Katibu wa NPC Hamis Kassapa na Mtunza Hazina wa NPC Sunday Bavuga
Katibu Mtendaji wa Njombe Press Club Bwana Hamis Kasapa akiwasomea Wanachama Taarifa ya Chama Hicho Katika Kikao Chao
Wa Kwanza Kushoto Safu ya Mbele ni Mmiliki wa Mtandao Huu Bwana Gabriel Kilamlya Ambaye Amechaguliwa Kuwa Afisa Uhusiano Kwa Muda Ndani ya Njombe Press Club[NPC] Ambaye Pia ni Makamu Mwenyekiti wa NPC Akiwa Katika Kikao Cha Wanachama wa NPC Ofisini Kwao.
Mbele ni Mwanahabari wa Gazeti la Mwananchi Wilaya ya Ludewa Bazil Makungu Nyuma yake ni Pili Nyenje[Mamaa Nyeupe] Ambaye ni Mtunza Hazina Msaidizi wa NPC
Kushoto ni sikawa Emmanuel Sikawa Ambaye ni Mjumbe wa Kamati Tendaji NPC Nyuma Yake ni Jacob Mwenga Mwanachama Akiwa na Philimon Sanga
Na Gabriel Kilamlya Njombe
Waandishi wa Habari Mkoani Njombe Wametakiwa Kutambua Kuwa kuna Maisha Baada ya Mchakato wa Uchaguzi Mkuu Kwa Kuhakikisha Wanachukua Tahadhari Kubwa Katika Kipindi Chote Cha Kampeni Hadi Uchaguzi Mkuu.
Wito Huo Umetolewa na Mwenyekiti wa Chama Cha Waandishi wa Habari Mkoa wa Njombe Bi.Mercy Sekabogo Katika Kikao Cha Siku Moja Kilichowakutanisha Wanahabari Ambao ni Wanachama Wa Chama Hicho na Kwamba Umakini na Haki Katika Utoaji Taarifa za Uchaguzi Ndio Utakaomuweka Salama Mwanahabari Yeyote.
Aidha Amesema Kuwa Wanahabari Hawanabudi Kuhakikisha Kazi Zao Haziwezi Kuleta Mpasuko Katika Taifa Kwa Kuandika Habari Zinazoegemea Upande Mmoja wa Kisiasa Jambo Linaloweza Kusababisha Kuwepo na Mpasuko Katika Nchi.
Wakizungumza Mara Baada ya Semini Hiyo Iliyofanyika Katika Ofisi za Chama Hicho Baadhi ya Wanahabari Toka Vyombo Mbalimbali Wamesema Kununuliwa Kwa Baadhi Ya
Waandishi wa Habari Kumekuwa Kukisababisha Kushindwa Kutenda Haki Katika Kuripoti Matukio Mbalimbali ya Kisiasa.
Hata Hivyo Wamesema Kupitia Mafunzo Mbalimbali Ambayo Wamekuwa Wakiyapata Wanaamini Kuwa Suala la Kununuliwa na Kuripoti Habari Upande Mmoja Linakwisha Katika Kipindi Hiki Cha Uchaguzi Mkuu.