Quantcast
Channel: GABRIEL KILAMLYA
Viewing all articles
Browse latest Browse all 2276

SALVA KIIR AKATAA KUTIA SAHIHI MKATABA

$
0
0
Serikali ya Sudan Kusini imekataa kusaini mkataba uliotarajiwa kuleta amani na kumaliza mapigano yaliyodumu nchini humo kwa zaidi ya miezi ishirini.

Hata hivyo waasi na makundi ya upinzani wamesaini kwa upande wao.

Serikali imeomba kuongezewa siku kumi na tano zaidi kushauriana juu ya mapendekezo hayo.

Waziri kutoka Uingereza anayesimamia maswala ya Afrika ameitaka serikali ya Sudan Kusini kutia sahihi mkataba huo
haraka iwezekanavyo.

Amesema kuwa watu hawafai kusheherekea hadi pale rais Kiir atakapotia sahihi mkataba huo.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 2276