Article 12
BONGO MOVIE YAPATA PIGO JINGINE.Muigizaji wa filamu nchini Jaji Khamis (Kashi) amefariki dunia leo mchana katika hospitali ya taifa ya Muhimbili jijini Dar es Salaam.Kashi amewahi kutamba na mchezo...
View ArticleArticle 11
TCRA YAAGIZA STAR TV IRUDISHWE STAR TIMES. Mkurugenzi Mkuu wa TCRA Prof. John Nkoma akitoa maamuzi kuhusu kujitoa kwa Star TV kwenye Star Times. TCRA imeagiza Chaneli ya Star Tv irudishwe mara moja...
View ArticleArticle 10
HATIMAYE LWAKATARE APATA KUISHI MITAANI LEO.Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam leo imemuachia kwa dhamana Mkurugenzi wa Usalama wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Chadema. Habari...
View ArticleMWANAMKE AUAWA KIKATILI DAR
Unyama Mkubwa Bongo.Mwili wa huo ulikutwa na polisi Juni 8, mwaka huu Mikocheni B, jirani kabisa na makazi ya Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Kamishna Suleiman Kova.Kwa mujibu wa...
View ArticleArticle 8
WANANCHI KIJOMBE MKOANI NJOMBE WAMKATAA MTENDAJI WAO. Huyu ni afisa Mtendaji wa Kijiji cha Kijombe bwana Jailos Lyode aliyekataliwa na Wananchi wake Kwa ubadhilifu wa fedha.Huyu ni Diwani wa Kata ya...
View ArticleArticle 7
GHARAMA KUBWA ZA HOTELI NA HUDUMA DUNI ZAIKERA TANAPA IRINGA. Bw James LembeliMwenyekiti kamati bunge ardhi mazingira na maliasili James Lembeli amesema...
View ArticleArticle 6
WAKENYA WALIVYOANDAMANA JUNE 11 NA KINYAGO CHA NGURUWE WAKIPINGA MISHAHARA YA WABUNGE.Miungano ya kijamii ikiongozwa na Bunge la mwananchi,Muhuri na pawa 254 miongoni mwa mengine yameandaa...
View ArticleArticle 5
RAIA WA KIGENI 19 WAKAMATWA TANGA .Pichani ni Wahabeshi 18 na raia mmoja wa Kenya wakiwa Makao Makuu ya Idara ya Uhamiaji mkoa wa Tanga baada ya kunaswa jana wakiwa nchini kinyemela, hapa ni wakati...
View ArticleRAIS WA ZANZIBAR AZINDUA MRADI WA UMEME.
kada kwa pamoja wakifungua pazia kama ishara ya uzinduzi wa mradi wa uimarishaji Miundombinu ya Usambazaji Umeme Zanzibar,katika hafla iliyofanyika Mtoni Kituo Kikuu cha Umeme,Wilaya ya Magharibi...
View ArticleArticle 3
MSAKO WA POLISI DAR WAKUSANYA MILIONI 64 NA KUKAMATA MAJAMBAZI NANE. Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limeendelea na operesheni mbalimbali kwa mafanikio, ikiwemo kukama wahalifu, kuokoa...
View ArticleArticle 2
UPANUZI WA BARABARA KIWANGO CHA LAMI WASHIKA KASI NJOMBE. Ukarabati wa Barabara kwa Kiwango cha Lami ukiendelea Mjini Njombe. TANROAD Njombe waandaa sehemu za kushushia na kupakilia Abiria Mjini...
View ArticleArticle 1
[Ivory coast]KUTUA BONGO KESHO.YAYA TOURE NA WENZAKE KUINGIA TANZANIA NA MSAFARA WA WATU 80 KESHO. Msafara wa timu ya Taifa ya Ivory Coast (The Elephants) wa watu 80 wakiwemo wachezaji 27 unatarajiwa...
View ArticleArticle 0
UJENZI WA ZAHANATI YA ITAMBO WANGING'OMBE WAENDELEA SASA BAADA YA KUSIMAMA. Kulia mbele ni Kaimu Afisa Tarafa Mdandu Bwana Benson Wandelage akizungumza na wananchi wa Kijiji cha Itambo juu ya Ujenzi...
View ArticleArticle 7
BAJETI YA MWAKA 2013/2014 KUJULIKANA LEO.Waziri wa Fedha Dokta William Mgimwa akiwa na Kablasha la Bajeti ya Mwaka 2013/2014.Waziri Mgimwa asema Benki ya Wakulima Tanzania itaanzishwa ili kutoa mikopo...
View ArticleArticle 6
MASHEMASI WATATU WAPATA UPADRE LEO JIMBO KUU LA NJOMBE. Kanisa la Roman Catholic Jimbo kuu la Njombe leo limetoa Upadrisho kwa Mapadre watatu. Mashemasi kabla ya kupata Sakramenti ya Upadre leo Jimbo...
View ArticleArticle 5
MALARIA KALI YAMUUA MSANI WA BONGO FLAVA 'LANGA' Msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya Bongo aitwaye Langa Kileo afariki dunia leo kwa malaria kali.Taarifa za Kifo cha Msanii wa Muziki wa Bongo Flava Langa...
View ArticleArticle 4
MTOTO WA SIKU NNE AKAA SIKU SITA SHIMONI.Mtoto Bahati Upendo mwenye siku 3 toka azaliwe alipowekwa na mama yake kwenye mfuko wa mbolea na kutumbukizwa kwenye shimo... Ndani ya shimo hilo amekaa siku 6...
View ArticleArticle 3
MVUTANO MKALI WA JINA LA MKOA MPYA UNAOGAWANYWA TOKA MKOA MAMA WA MBEYA.Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mbozi Ambakisye Minga Alisema hali ya miundombinu ni nzuri katika kila Wilaya zilizopendekezwa na...
View ArticleArticle 2
PSPF YAIDAI SERIKALI TRILIONI SITA HADI SASA. Wadau wa Mashirika yasiyo ya Kiserikali Mkoani Njombe akihoji mambo mbalimbali juu ya elimu ya PSPF. Washiriki wawakilishi wa Mashirika mbalimbali yasiyo...
View ArticleArticle 1
MASELE MZIMA LICHA YA KUPATA AJALI.Habari za uhakika ni kuwa muigizaji wa vichekesho nchini maarufu kwa jina la Masele cha Pombe ni mzima wa afya na hajafariki kama baadhi ya tetesi zilivyoanza kuenea...
View Article