Article 3
ATAKAYE CHOMA MOTO MISITU KUKIONA CHAMOTO IRINGA. Mkuu wa mkoa wa Iringa Dr Chistine Ishengoma ( pichani aliyesimama) kushoto kwake ni mkuu wa wilaya ya Iringa Dr Leticia Warioba...
View ArticleArticle 2
ASKARI 29 WA MAGEREZA WATUNUKIWA NISHANI. Msafara wa Kamishina Jenerali wa Magereza CGP John C. Minja ukiwasili katika viwanja vya Chuo cha ufundi Ruanda Jijini Mbeya kwa ajili ya kuwatunuku nishani...
View ArticleArticle 1
WAKAZI WA LUDEWA WA KIKUNDI CHA KIPAMAMBA WAISHIO MKOANI IRINGA WAKUTANA NA MBUNGE WA LUDEWA KUJADILI CHANGAMOTO ZAO. Mbunge wa Jimbo la Ludewa Mheshimiwa Deo Filikunjombe akiingia katika Ukumbi wa...
View ArticleArticle 0
NG'O YA ILAWA NJOMBE YAADHIMISHA SIKU YA MAZINGIRA LUDEWA LEO.Siku ya Mazingira yaadhimishwa kwa kukata kuni wakiharibu mazingira kwa wanafunzi wilayani Ludewa. Mwenyekiti wa Shirika la ILAWA Bwana...
View ArticleArticle 5
MAZISHI YA NGWAIR KUFANYIKA LEO. MAPOKEZI YA MWILI WA NGWEA ENEO LA MAZIMBU ROAD KIHONDA.
View ArticleArticle 4
WAKATI WENGINE WAKIPENDEKEZA KUFUTWA KWA BAADHI YA VYAMA VYA SIASA,CHAMA KIPYA CHA 21 CHA SIASA NCHINI TANZANIA CHAPATA USAJILI .Baadhi ya wanachama cha CHAUMMA pamoja na viongozi wao wakishangilia...
View ArticleArticle 3
MAELFU WAJITOKEZA KUMZIKA NGWAIR LEO MOROGORO.Wananchi ni wengi waliojitokeza kwenda kumuhifadhi msanii Albert Mangwea kwenye nyumba yake ya milele kama ionekanavyo pichani hapo ni makaburini.Kwa...
View ArticleArticle 2
MFUASI WA CHADEMA AJERUHIWA VIBAYA KWA SHOKA.Kada wa CHADEMA aliyetajwa kwa jina moja la Amos, amejeruhiwa vibaya kwa shoka mkoani Arusha. Kwa mujibu wa aliyetoa habari hii katika mtandao wa Jamii...
View ArticleArticle 1
MWANAMKE AFARIKI AKIJARIBU KUTOA MIMBA NJOMBE.Kamanda wa Polisi Mkoa wa Njombe ACP Fulgency Ngonyani akizungumza na mwandishi wa Mtandao Huu bwana Prosper Mfugale Juu ya Tukio...
View ArticleArticle 0
KAMANDA KAMUHANDA WA IRINGA ARITHIWA NA (ACP) Ramadhani Mungi. RPC , KAMUHANDA (Msemaji wa jeshi la polisi nchini Advera Senso-SSP)……………………………………………………………………………… Jenerali wa Polisi,Simu : (022) 2110734...
View ArticleArticle 22
KALLAH JEREMIAH NUSURA AMRITHI 20% KILI MUSIC Award 2013. Msanii Bora wa Hip Hop KALA JEREMIAH anyakua TUZO 3 ZA KILIMANJARO 20131. KIKUNDI BORA CHA TAARABU NI- JAHAZI MODERN TAARAB2. MTUNZI BORA WA...
View ArticleArticle 21
RC NJOMBE ATETA NA AKINA MAMA NA KUKEMEA UKATILI WA KIJINSIA. MKUU WA WILAYA YA NJOMBE SARAH DUMBA AKIMKARIBISHA MKUU WA MKOA WA NJOMBE AZUNGUMZE NA AKINA MAMA HAO. AKITOA HOTUBA KATIKA KONGAMANO LA...
View ArticleArticle 20
JK AENDA KUHANI MSIBA WA MUME WA HADIJA KOPA.Rais Dk. Jakaya Kikwete akimfariji Msanii wa taarabu Hadija Kopa nyumbani kwake mjini Bagamoyo jana kufuatia kifo cha Mumewe Marehemu Jaffari Ali Yusuf...
View ArticleArticle 19
VURUGU ZA MTWARA ZAMFIKISHA PABAYA MBUNGE WA MTWARA.Jeshi la Polisi mkoani Mtwara limemkamata mbunge wa Mtwara Mjini (CCM), Hasnain Murji likimtuhumu kuchochea vurugu za kupinga mradi wa bomba la gesi...
View ArticleArticle 18
Mbunge Mtwara kupandishwa kizimbani leo. Mbunge wa Mtwara Mjini, Hasnain Murji akichangia hoja bungeni. Mbunge huyo anashikiliwa na jeshi la polisi kwa tuhuma za kuchochea vurugu za gesi Mtwara. Na...
View ArticleKITIMOTO NJOMBE KUANZA KUTUMIKA LEO juni 10.
.Masharti ya Karantini yalegezwa. Mganga Mkuu wa Mifugo katika Halmashauri ya Mji wa Njombe Dr.Antony Mwangolombe asubuhi hii amezungumza na kufanya mahojiano na kituo cha radio Uplands Fm Njombe...
View ArticleArticle 16
STAR TV YATANGAZA KUJITOA KATIKA VING'AMUZI VYA STAR TIMES. BAADA ya Televisheni ya Star TV kutangaza kujitoa kurusha matangazo yao kupitia kingamuzi cha Star Times, Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania...
View ArticleArticle 15
Hatma ya dhamana ya Lwakatare kujulikana kesho.Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Wilfred Lwakatare Hatma kuhusu dhamana ya Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama...
View ArticleArticle 14
VYUMBA VYA MADARASA 131 VYAHITAJIKA MKOANI NJOMBE.Mkoa wa Njombe Unahitaji Vyumba Vya Madasara 131 Sawa na Shule 33 za Secondary Ili Kuwa na Uwezo wa Kupokea Wanafunzi Elfu Kumi na Saba Wanaotarajiwa...
View ArticleArticle 13
MKAZI WA ITUNDUMA NJOMBE AJINYONGA KWA KITENGE.Kamanda wa Polisi Mkoa wa Njombe ACP Fulgency Ngonyani athibitisha kutokea kwa matukio tofauti.Na Prosper Mfugale Njombe.Watu Wawili Wamefariki Dunia...
View Article