


Miundombinu ya Usambazaji Umeme Zanzibar,katika hafla iliyofanyika Mtoni Kituo Kikuu cha Umeme,Wilaya ya Magharibi Unguja.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la MapinduziDk.Ali Mohamed Shein,na Balozi wa Japan nchini Tanzania MasakiOkada kwa pamoja wakikata utepe kuzindua mradi wa uimarishaji Miundombinu ya Usambazaji Umeme Zanzibar,katika hafla iliyofanyika Mtoni Kituo Kikuu cha Umeme,Wilaya ya Magharibi Unguja
Meneja Mkuu wa Shirika la Umeme Zanzibar Hassan Akitoa maelezo kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza laMapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(katikati) wakati alipoitembelea mitambo baada ya kuzindua mradi wa uimarishaji Miundombinu yaUsambazaji Umeme Zanzibar,katika hafla iliyofanyika leo Mtoni KituoKikuu cha Umeme,Wilaya ya Magharibi Unguja.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la MapinduziDk.Ali Mohamed Shein,(katikati) na Makamo wa Kwanza wa Rais MaalimSeif Sharif Hamad,wakifuatana wakati uzinduzi wa mradi wa uimarishajiMiundombinu ya Usambazaji Umeme Zanzibar,katika hafla iliyofanyikaleo Mtoni Kituo Kikuu cha Umeme,Wilaya ya Magharibi Unguja.
Baadhi ya mafundi na wafanyakazi wa Shirika la Umeme laZanzibar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza laMapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,alipozungumza nao katika sherehe za uzinduzi wa mradi wa uimarishaji Miundombinu ya Usambazaji UmemeZanzibar,katika hafla iliyofanyika Mtoni Kituo Kikuu ch Umeme,Wilaya ya Magharibi Unguja.
[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]