Quantcast
Channel: GABRIEL KILAMLYA
Browsing all 2276 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ALICHOKIZUNGUMZA MKE WA DEO FILIKUNJOMBE KWENYE MIAKA MIWILI YA KIFO CHAKE

Ikiwa ni miaka miwili imepita tangu aliyekuwa Mbunge wa Ludewa Deo Haule Filikunjombe afariki dunia, mke wa wake Sarah Habiba amesema Tanzania ina pengo kubwa kwa kumpoteza Deo. Kwenye ukurasa wake wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Uchaguzi Liberia: Weah na Boakai kuelekea duru ya pili ya uchaguzi wa rais

Nyota wa zamani wa soka George Weah na makamu wa rais Joseph Boake, wanaelekea duru ya pili ya uchaguzi kwenye uchaguzi wa rais nchini Liberia.Karibu matokeo yote kwenye uchaguzi wa siku ya Jumanne...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Waziri awafukuza kazi maafisa wa serikali idara ya Maendeleo ya Mazao

Waziri wa kilimo Mhe Dkt Charles Tizeba amemuagiza Katibu mkuu wa Wizara ya Kilimo Mhandisi Methew Mtigumwe  kuwafukuza kazi maafisa watatu wa idara ya Maendeleo ya Mazao katika sehemu ya pembejeo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Samson Mwigamba Ajiuzulu UONGOZI ACT- Wazalendo

Mwenyekiti wa Kamati ya Kampeni na Uchaguzi Taifa ya Chama Cha ACT Wazalendo Samson Mwigamba ameng'atuka nafasi yake hiyo katika chama hicho na kubaki mwananchama wa kawaida kwa madai ya kuwa ameona...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Lissu amfariji Nyalandu

Baada ya kukaa hospitali kwa zaidi ya mwezi mmoja Lissu akipatiwa matibabu, Mbunge wa Singida Kaskazini, Lazaro Nyalandu amekiri kuona tabasamu la Mbunge huyo aliyepigwa risasi mwezi uliopita na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Akamatwa akisafirisha mabomu kwenye madumu ya maji

Askari walimshtukia kijana huyo baada ya kupita kwenye vituo vitatu bila kusimama huku gari hilo likielekea kwenye kambi ya majeshi ya Umoja wa Mataifa kwa spidi kali.Polisi mjini Kabul wamesema...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Zitto amkumkumbuka Filikunjombe

Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe amemkumbuka marehemu Mbunge wa jimbo la Ludewa, Deo Filikunjombe ambae alifariki dunia baada ya helikopta aliyokuwa akiitumia kwaajili ya kampeni kupata ajali kwenye...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WANAHABARI MKOA WA NJOMBE WAZULU KABURI LA ALIYEKUWA MBUNGE WA LUDEWA DEO...

Jana Oktoba 15 imetimia miaka miwili Tangu aliyekuwa Mbunge wa Ludewa marehemu Deo Filikunjombe afariki dunia kwa ajali ya HelkoptaWaandishi wa habari kutoka chama cha waandishi wa habari mkoa wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Waziri MKUCHIKA kupeleka bungeni maombi umri wa kustaafu maprofesa uongezwe

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, George Mkuchika amesema ana mpango wa kupeleka bungeni maombi ya kuongezwa muda wa kustaafu maprofesa.Amesema umri wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Waziri Mkuu awaonya mawaziri

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewaonya mawaziri na kuwataka watumie madaraka yao kwa manufaa ya Taifa na kamwe wasiyatumie kama fursa ya kujitajirisha wao binafsi.Kassim Majaliwa amesema hayo leo Oktoba...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

PAUL MAKONDA AKABIDHI MAGARI POLISI

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mheshimiwa Paul Makonda jana Oktoba 22 amekabidhi Magari ya kisasa 18 kati ya 26 yaliyopelekwa Mkoani Kilimanjaro yakiwa Mabovu (Mkweche) kwaajili ya kufufuliwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

PITIA MAGAZETI YA LEO JUMA TATU OKTOBA 23,2017

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

VIBALI VYOTE VYA UWINDAJI VYAFUTWA NA KIGWANGALA

Waziri wa Maliasili na Utalii, Hamisi Kigwangalla amefuta vibali vyote vya uwindaji kwa kampuni kuanzia  Oktoba 22,2017 na kutoa siku 60 kwa watendaji ili waratibu mchakato upya utakaowezesha vitalu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Makamu wa pili wa Rais Zanzibar, Balozi Seif Ali Idd Aishauri Serikali Ifute...

Makamu wa pili wa Rais Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi amesema ipo haja kwa Serikali kupitia Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kuangalia uwezekano wa kuondoa kodi ya ongezeko la thamani...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Waziri Tillerson asema wanamgambo wa Shia Iraq 'warudi nyumbani'

Waziri wa mambo ya nje wa Marekani Rex Tillerson amewaambia wanamgambo wanaoungwa mkono na Iran nchini Iraq warudi nyumbani wakati vita dhidi ya kundi la Islamic State vinamalizika.Alitoa matamshi hayo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Bomoa Bomoa Kuipitia Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Halmashauri, Tanesco, CCM

Wamiliki wa nyumba wa maeneo ya mjini waliojenga kwenye maeneo ya serikali Manispaa ya Songea Mkoani Ruvuma wamepewa notisi ya mwezi mmoja kubomoa nyumba hizo ambazo tayari zimewekewa alama X baada ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais Magufuli aombwa amtumbue haraka Mkurugenzi Ruvuma

Baraza la madiwani wa halmashauri ya wilaya ya Mbinga mji mkoani Ruvuma, wamemkataa mkurugenzi mtendaji wa halmashauri Bw. Robert Mageni na kumuomba rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania, Mhe. John...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Watu 9 wanusurika kifo ndani ya nyumba mkoani Morogoro

Watu 9 familia mbili tofauti wamenusurika kifo kufuatia ajali ya moto uliotokea na kuunguza nyumba wanayo ishi katika mtaa wa Makongoro manispaa ya Morogoro huku samani za ndani zikiteketea kabisa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Magari yatakayosajiliwa Zanzibar Kutambulike Bara – Waziri Makamba

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais anayeshughulikia Muungano na Mazingira, Mhe. January Makamba leo ameshiriki kwenye uzinduzi wa kongamano la vijana kuhusu Muungano viziwani Zanzibar, lenye lengo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ACACIA Watemwa.....Barrick Kuunda Kampuni Mpya ya Kusimamia Shughuli za...

Barrick Gold Corporation yenye makao yake jijini Toronto, Canada, litaunda kampuni mpya (sio Acacia) kuendesha migodi yake ya Bulyanhuru, Buzwagi na North Mara nchini Tanzania.Katika taarifa yake juu...

View Article
Browsing all 2276 articles
Browse latest View live