Makubaliano Barrick: Rais Magufuli awa gumzo duniani......Mining Quartz...
SIKU chache tu baada ya Rais John Pombe Magufuli kufanikisha kukamilika kwa ufanisi sehemu ya kwanza majadiliano na kampuni ya Barrick Gold kuhusu biashara ya madini hayo nchini, majarida na magazeti...
View ArticleTanzaniteOne : Tupo Tayari Kuipitia Mikataba Upya
Uongozi wa Kampuni ya uchimbaji madini aina ya tanzanite ya TanzaniteOne Mining Limited, umejitokeza na kutangaza wazi kuwa wako tayari kushirikiana na serikali katika kupitia upya makubaliano ya...
View ArticleRais Magufuli leo anatarajia kuwatunuku vyeti wote waliofanikisha kufikiwa...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 23 Oktoba, 2017 atawatunuku vyeti wajumbe wa kamati zilizofanya uchunguzi wa kiwango, aina na thamani ya madini katika...
View ArticleLulu akutwa na kesi ya kujibu kuhusu kifo cha Kanumba
Mahakama kuu ya Tanzania kanda ya Dar es Salaam leo Oktoba 23, 2017 imemkuta Msanii maarufu wa filamu nchini, Elizabeth Michael Maarufu kama Lulu, anakesi ya Kujibu.Ni kuhusu tuhuma zinazomkabili za...
View ArticleBREAKING NEWZZZZ: JPM ATEUA GAVANA MPYA WA BENKI KUU
Rais Dkt. John Pombe Magufuli, ametangaza kuteua Profesa Florens Luoga kuwa Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania akipokea kijiti kutoka kwa Gavana wa awali, Profesa Benno Ndulu.Rais Dkt. Magufuli ametangaza...
View ArticleLipumba amfagilia Magufuli
Mwenyekiti wa (CUF) anayetambuliwa na ofisi ya Msajili wa Vyama vya siasa, Profesa Lipumba amefunguka na kumsifia Rais John Pombe Magufuli kwa hatua mbalimbali anazochukua juu ya maliasili za nchi hii...
View ArticleKATIBU MKUU KITILA AZINDUA JUKWAA LA WADAU WA MAJI ARUSHA
Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji na Umwagiliaji , Profesa Kitila Mkumbo,Akizindua Jukwaa la wadau kuhusu usimamizi na utunzani wa maji katika Bonde la Pangani jijini Arusha juzi(Habari Picha na Pamela...
View ArticleMakamu wa Rais kuwa mgeni rasmi kwenye Matembezi ya Hisani Jijini Dar es salaam.
Shirika la Amref Health Africa Tanzania kwa kushirikiana na BankM, linawakaribisha wananchi wote kwenye Matembezi ya Hisani 2017 yanayolengakupunguza vifo vitokanavyo na uzazi, kwa kuwasomesha wauguzi...
View ArticleRAIS KUWAAPISHA VIONGOZI WAPYA LEO SAA NANE MCHANA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 27 Oktoba, 2017 saa 8:00 mchana atawaapisha Makatibu Wakuu wapya, Naibu Makatibu Wakuu wapya na Wakuu wa Mikoa wapya...
View ArticleDkt. Kigwangalla atua Loliondo, afanya kikao kizito na Kamati ya Ulinzi na...
Waziri wa maliasili na Utalii Dk. Hamisi Kigangwala amesema kuwa watoa huduma mbalimbali za utalii watatakiwa kufuzu mtihani kabla ya kupewa leseni mpya kuanzia Januari 2018 ambapo Serikali itaandaa...
View ArticleSababu Zilizowafanya Wazee wa Baraza Wamtie Hatiani Lulu Michael
Wazee wa baraza wameieleza Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam kuwa mwigizaji wa filamu nchini, Elizabeth Michael maarufu Lulu amehusika kumuua bila kukusudia msanii mwenzake, Steven Kanumba.Wakitoa...
View ArticleMume na Mke Wauawa kwa Mapanga Usiku
Mume na mke wameuawa kwa kukatwa mapanga wakiwa wamelala nyumbani kwao.Wanandoa hao walikuwa na kesi mbili za kugombea ardhi katika baraza la aridhi la Kata ya Hunyari, Tarafa ya Chamriho wilayani...
View ArticleKorea Kaskazini yaiwachilia huru meli ya uvuvi ya K Kusini
Korea Kaskazini inasema kuwa itaiachilia meli ya uvuvi ya Korea Kusini ilioikamata siku sita zilizopita kwa kuingia katika himaya yake kinyume cha sheria, chombo cha habari kimesema.Meli hiyo na...
View ArticleMganga Mkuu Akanusha Watoto 9 Kufariki kisa Kukatika kwa Umeme
Mganga Mkuu Mkoa wa Arusha Dkt. Wonanji Timoth amekanusha taarifa za kufariki kwa watoto 9 waliokuwa kwenye Incubator kutokana na katizo la umeme hapo jana hospitali ya Mt. Meru, na kusema kwamba...
View ArticleMwakyembe Aingilia Kati Sakata la Mzee Majuto Kudhulumiwa Mamilioni ya Pesa
Waziri wa Habari, Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe amefunguka na kusema kuwa Mzee Majuto amedhurumiwa pesa milioni 25 na kampuni ya filamu ambayo jina lake amelihifadhi na kudai atatumia hata mshahara...
View ArticleKigwangalla asitisha operesheni ya kuchoma makazi Loliondo
Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk Hamis Kigwangalla leo Ijumaa ametangaza kusitishwa operesheni zilizokuwa zinaendelea katika pori tengefu la Loliondo na ametaka mifugo yote inayoshikiliwa na Hifadhi...
View ArticlePUTO LA HARBINDER SETHI LINAKARIBIA KUPASUKA
Wakili wa Sethi adai mteja wake hajapewa majibu Muhimbili Wakili Alex Balomi ameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuwa mshtakiwa Harbinder Sethi licha ya kupelekwa katika Hospitali ya Taifa ya...
View ArticleMAKUBWA YAANDIKWA MAGAZETINI LEO
Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumamosi ya Octoba 28
View ArticleSweden yamwaga mabilioni
BALOZI WA SWEDEN NCHINI, KATARINA RANGNITT.SWEDEN imetoa Sh. bilioni 80.4 kwa Umoja wa Mataifa (UN) ili kusaidia kuzuia vitendo vya ukatili dhidi ya wanawake na watoto na kuhamasisha wanawake kushiriki...
View Article