TENGA ATEULIWA KUWA MAKAMU WA RAIS WA KAMATI YA UFUNDI NA MAENDELEO CAF,TFF...
Kaimu Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania, Wallace John Karia amempongeza Leodegar Chilla Tenga - Rais wa Heshima wa TFF kwa kuteuliwa kuwa Makamu wa Rais wa Kamati ya Ufundi na Maendeleo ya...
View ArticleRAIS DKT MAGUFULI AZINDUA MRADI MKUBWA WA MAJI NGURUKA WILAYANI UVINZA MAPEMA...
Rais Dkt John Pombe Magufuli akiwasalimia Wananchi mbalimbali wa mji wa Nguruka mapema leo asubuhi,waliojitokeza kumshuhudia Rais akiweka jiwe la msingi la Mradi wa maji.Rais Magufuli ametekeleza...
View ArticleHali ya Mbunge wa CCM Kigoma ni Tete
Mbunge viti maalumu mkoa wa Kigoma Josephine Ngezabuke (CCM) amepata ajali mbaya ya gari akitokea Kakonko katika kijiji cha Mvugwe wilayani kasulu mkoani Kigoma Jana majira ya saa kimu na moja...
View ArticleMbowe Afunguka Mazito Sakata la Madiwani wa CHADEMA Kuhamia CCM
Mwenyekiti wa (CHADEMA) na Mbunge wa Hai Freeman Mbowe amefunguka na kusema ni upambavu mkubwa kutumia zaidi ya milioni mia saba kwa ajili ya kufanya marudio ya uchaguzi wa udiwani wa kata tatu baada...
View ArticleKorea Kaskazini: CIA wamepanga kumuua Kim Jong-un
Serikali ya Korea Kaskazini imesema kuwa imepata taarifa kutoka wizara ya ya mambo ya ndani yaKorea Kusini kuwa mawakala wa kundi la kigaidi linaloungwa mkono na Shirika la Ujasusi la Marekani (CIA) na...
View ArticleRAILA ODINGA CHALI TENA,Uhuru Kenyatta atangazwa mshindi wa urais KENYA
Tume ya taifa ya uchaguzi Kenya imemtangaza Rais Uhuru Kenyatta wa chama cha Jubilee kuwa mshindi wa uchaguzi wa urais uliofanyika Jumanne.Rais Kenyatta alipata kura 8, 203, 290.. ambayo ni asilimia 54...
View ArticleWaziri Mkuu: Wananchi Waliopewa Uraia Muheshimu Sheria Za Nchi
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka wananchi wanaoishi kwenye makazi ya wakimbizi ya Ulyankulu waache kujihusisha na matukio ya uhalifu. Ametoa onyo hilo jana mchana (Ijumaa, Agosti 11, 2017) wakati...
View ArticleTutataifisha Mali Za Wanaofanya Biashara Ya Kusafirisha Wahamiaji Haramu Kuja...
KAMANDA wa polisi mkoani Pwani,(ACP) Jonathan Shanna (Pichani Kulia), amesema kuanzia sasa watataifisha mali zote za watu wanaojihusisha na biashara ya usafirishaji wa wahamiaji haramu.Aidha...
View ArticleUchaguzi Kenya: Tume ya haki za kibinadamu yasema watu 24 wameuawa
Muungano mkuu wa upinzani nchini Kenya, ambao ulishindwa katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu, umeapa kuendelea na maandamano wenye nia ya kubatilisha kile ambacho unasema kuwa, matokeo "feki" ya uchaguzi...
View ArticleRais Muhammadu Buhari wa Nigeria asema aendelea kupata nafuu
Haki miliki ya pichaRais wa Nigeria / Bayo OmoboriowoImage caption Picha iliyopakiwa kwenye akaunti ya Twitter ya rais Buhari @NGRPresident ilimuonesha akiwa anatabasamu akiwa na kadi ya kumtakia...
View ArticleMbunge wa CCM Manyoni kupandishwa kizimbani
Singida. Mbunge wa Manyoni Mashariki (CCM), Daniel Mtuka (51) anaendelea kushikiliwa na Jeshi la Polisi hadi kesho atakapofikishwa mahakamani.Mtuka anatarajiwa kupandishwa kizimbani katika Mahakama ya...
View ArticleHALMASHAURI ZA MKOA WA NJOMBE ZAENDELEA KUNG'ARA MASHINDANO YA USAFI NA...
Dar es Salaam. Waziri wa Afya na Maendeleo ya Jamii, Ummy Mwalimu ameonyesha kukerwa na uchafu wa vyoo katika ofisi na taasisi za Serikali na kutaka suala hilo liangaliwe kwa umakini ili kuepusha...
View ArticleRAIS DKT MAGUFULI ASHIRIKI MISA YA JUMAPILI KANISA LA MTAKATIFU JOSEPH JIJINI...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na Mkewe Mama Janeth Magufuli wakiwa katika Ibada ya Misa takatifu, Dominica ya 19 ya mwaka A wa Kanisa, katika Kanisa Kuu la...
View ArticleTanzania ndio nchi pekee Afrika Mashariki na kati yenye uwezo mkubwa wa...
Tanzania imetajwa kuwa nchi pekee Afrika Mashariki na kati yenye uwezo mkubwa wa kuzalisha mazao ya kilimo ya aina nyingi pamoja na mifugo ukilinganisha na nchi nyingine za ukanda huo lakini sekta hiyo...
View ArticleManispaa ya Ilala yapiga marufuku kuosha magari
Manispaa ya Ilala jijini Dar es salaam imesema kila kijana atakayekutwa anaosha magari pembezoni mwa barabara za manispaa hiyo atapigwa faini ya shilingi laki mbili papo hapo huku mmiliki wa gari...
View ArticleLWENGE AMUAGIZA DC WANGING'OMBE KUFUATILIA UCHAKACHUA WA FEDHA ZA KITUO CHA AFYA
Na Gabriel Kilamlya WANGING'OMBEWaziri wa maji na Umwagiliaji na Mbunge wa Jimbo la Wanging'ombe Mhandisi Gerson Lwenge Amemuagiza Mkuu wa Wilaya ya Wanging'ombe Kwenda Kufuatilia Malalamiko ya...
View ArticleKenya: Wabunge wapya wakataa kupunguziwa mishahara
Baadhi ya wabunge wapya nchini Kenya wamepinga mpango wa kupunguza mishahara yao kwa asilimia 15 kulingana na chapisho la mtandao wa Twitter wa chombo kimoja cha runinga.Hatua ya kupunguza mshahara huo...
View Article