Picha na Gabriel Kilamlya Njombe
Imeelezwa Kuwa Jumla ya Watu Bilioni 1.8 Wamekufa Barani Afrika na Wengine Bilioni 1.7 Wameugua Magonjwa ya Mlipuko Kikiwemo Kipindupindu Kutokana na Kutozingatia Kanuni Bora za Afya na Unawaji Mikono na Sababu.
Takwimu Hizo Zimetolewa na Katibu Mkuu wa TAMISEMI Aliyewakilishwa na Katibu Tawala Mkoa wa Njombe Jackson Saitabau Wakati Wa Kilele Cha Maadhimisho ya Siku ya Unawaji Mikono,Siku ya Matumizi Bora ya Vyoo na Usafi wa Mazingira Yaliyofanyika Leo Kitaifa Mkoani Njombe.
Aidha Saitabau Amesema Nchi ya Tanzania Hadi Sasa Imewapoteza Watu Takribani Elfu 30 Kwa Magonjwa Hayo ya
Mlipuko Pamoja na Kupoteza Mamilioni Ya Fedha Kwa ajili ya Kukabiliana na Magonjwa Hayo Jambo Ambalo Linapaswa Kupingwa Kwa Nguvu Zote Kwa Kuzingatia Suala la Usafi.
Sanjali na Hilo Lakini Pia Amesema Taifa Limepanga Kujengwa Kwa Vyoo Bora Katika Kaya na Shule Mbalimbali Hapa Nchini Ikiwa Kwa Upande Wa Shule Lengo ni Kuzifikia Shule 8112 Ili Ziweze Kupata Huduma Bora ya Vyoo Huku Jumla ya Shule 1189 Zimeshafikiwa Katika Zoezi Hilo.
Kwa Upande Wake Mkurugenzi wa Kinga Kutoka Wizara ya Afya Ambaye Amemwakilisha Katibu Mkuu TAMISEMI Dokta Neema Lusibamayila Amesema Kwa Mujibu ya Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2012 ni Asilimia 34 Pekee za Kaya Zinazotumia Vyoo Bora Nchini Tanzania.
Katika Siku Zote za Wiki ya Mazingira Serikali Imefanyakazi ya Kuyapitia na Kuyandanisha Makundi Mbalimbali Yakiwemo ya Watoa Huduma ya Vyakula[Mahoteli]Mama Lishe,Baa Kwa ajili ya Vinywaji,Nyumba za Kulala Wageni,Madereva Mbalimbali wa Vyombo Vya Moto Hususani Bodaboda Pamoja na Ukaguzi wa Maeneo Hayo na Vyoo Katika Shule Mbalimbali.