
..............................,,,,,,,,,,,,
Matokeo ya Ubunge kilolo Venance Mwamoto ( ccm ) ashinda kwa kura 45225 sawa na asilimia 57.16 , Bryson Kikoti ( Chadema ) 32926 sawa na asilimia 41.61,mwaka Mgimwa ( chausta ) 236 asilimia 0.30,Omary Mtuga ( ACT)739 sawa na asilimia 0.93 Jumla ya wapiga kura 110,458 walijiandikisha waliopiga 79128 asilimia 100.00

