Quantcast
Browsing all 2276 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS KIKWETE ZIARANI WILAYA YA NYASA

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akifunua kitambaa katika jiwe la msingi wakati wa sherehe za uzinduzi rasmi wa Daraja la Ruhekei zilizofanyika katika kijiji cha Mkaole wilaya ya Nyasa Mkoani Ruvuma...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 5

UTAJIRI WA TANZANIA TOKA WILAYANI LUDEWA MKOANI NJOMBE HUO HAPO Naibu Waziri wa Ujenzi Mhandisi Gerson Lwenge Akiokota Makaa ya Mawe Huko Mchuchuma Wilayani Ludewa Hapo Julai 16 Alipotembelea na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAMPENI YA UPIMAJI WA VVU YAZINDULIWA RASMI MKOA WA NJOMBE HUKO LUPEME BARAZANI

.Zaidi ya Watoto Elfu 7 Wagundulika Kuwa Yatima Mkoa wa Njombe Sababu Kubwa Vifo Vitokanavyo na UKIMWI Mkuu wa Wilaya ya Njombe Bi.Sarah Dumba Akiwa Ametoka Kupima VVU Mara Baada ya Kuzindua Kampeni ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 3

TAARIFA KUTOKA BENKI KUU YA TANZANIABenki Kuu ya Tanzania inapenda kukanusha habari zinazosambazwa kwenye mitandao kuwa kesho Jumatatu Benki ya FBME itafungwa na shughuli zote za benki hiyo zitakuwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais Kikwete amteua Jaji Shabani Ally LILA kuwa Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu.

  2006 – 2008 - Jaji wa Mahakama Kuu,Kanda ya Dodoma 2008 – 2013 - Jaji wa Mahakama Kuu, na Jaji Mfawidhi, Kanda ya Mtwara 2013 – 2014 -Jaji wa Mahakama Kuu, Masijala Kuu, akishughulikia uanzishwaji wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 1

TAIFA STARS YATOKA SARE NA MSUMBIJI Mshambuliaji wa timu ya soka ya Tanzania, Taifa Stars, Mbwana Samatta akitafuta mbinu za kuwatoka wachezaji wa Msumbiji katika mchezo uliofanyika kwenye Uwanja wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 0

WALIMU WANAOTAKIWA KUJIUNGA NA JKT WATAJWAHatimaye jeshi la kujenga taifa limetangaza majina ya walimu ambao wanatakiwa kupitia jkt kwa ajili ya mafunzo MAALUM kama ilivyo kwa kidato cha...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 4

8 MBARONI KWA KUTUPA VIUNGO VYA BINADAMU DAR. Kamishna wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Suleiman Kova akitoa taarifa kwa wanahabari.JESHI la Polisi Kanda Maalum la Dar es Salaam linawashikilia...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 3

MKE WA POLISI AFIA NYUMBANI KWA DEREVA BODABODAJeshi la Polisi linamshikilia dereva mmoja wa pikipiki, maarufu kama bodaboda wilayani Mwanga mkoani Kilimanjaro baada ya mke wa askari polisi kukutwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 2

MABADILIKO YA ANUANI YA WIZARA YA MALIASILI NA UTALII JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIAWIZARA YA MALIASILI NA UTALI TAARIFA KWA UMMAMABADILIKO YA ANUANI YA WIZARA YA MALIASILI NA UTALIIWizara ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 1

WATOTO YATIMA WA KITUO CHA MT.FRANCISCO IMILIWAHA NJOMBE WAPATIWA MSAADA WA ZAIDI YA TSH.MILIONI 11  KANISA KATHOLIKI JIMBO LA NJOMBE MJINI  MAMA NYEUPE AKIPELEKA MSAADA KWA WATOTO HAO LEO MCHANA...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 0

TAALUMA WANGING'OMBE YATAJWA KUSHUKANa Gabriel Kilamlya WANGING'OMBE;Licha ya Serikali Wilayani Wanging'ombe Kuagiza Kuwachukulia Hatua za Kisheria Wazazi Ambao Watoto Wao Wameacha Shule na Wale Ambao...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 5

KUWENI MAKINI NA MATAPELI -SERIKALI Na Rose Masaka-MAELEZO-Dar es Salaam.Serikali imewataka  wananchi       kujihadhari na wizi ambao hufanywa na Taasisi za Fedha hewa ambazo zimekuwa zikidai kutoa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 4

MBUNGE PETER MSIGWA ATOA MSADA CHUO CHA KIISLAMU IRINGA.Mchungaji Msigwa akikabidhi msaada kwa Kaimu Sheikh wa Mkoa wa Iringa, Abubakari Chalamila ZIKIWA zimebaki siku chache kwa waislamu nchini...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 3

WAZIRI DKT.MAHENGE  KUPAMBANA NA WACHAFUZI WA MAZINGIRA Sehemu ya dampo la Pugu Kinyamwezi lilopo jijini Dar es Salaam. Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais-Mazingira Mh. Dkt. Injinia Binilith Satano...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 2

NDEGE YA ALGERIA YAPOTEZA MAWASILIANO,hofu yatandaNdege ya shirika la Ndege  la Algeria iliyokuwa ikitoka Burkina Fasso kwenda Algers  kupitia sahara, imepoteza mawasiliano na chumba cha kuongozea...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MH. PINDA AHUDHURIA MKUTANO WA MAZIWA MAKUU JIJINI NAIROBI LEO

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitia saini tamko la Mkutano Maalum wa Nchi za Maziwa Makuu (ICGLR) kuhusu mikakati ya kutatua tatizo la ajira kwa vijana kupitia Uendelezaji Miundombinu na uwekezaji,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA MKUTANO WA 45 WA CPA JIJINI ARUSHA.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wajumbe wa Chama cha Wabunge kutoka nchi za Jumuiya ya Madola (CPA) katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 0

VIJANA WATAKIWA KUOGOPA VISABABISHI VYA MACHAFUKO YA NCHI.Ni kauli ya Wazee Waliopigana Vitani.Kumbukumbu ya Mashujaa Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa kasimama kikakamavu wakati wimbo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 3

Jembe la Chelsea[DIDIER DROGBA] LA REJEA CHELSEA, LASAINI MKATABA WA MWAKA MMOJA.Shangwe na Furaha Kwa Mashabiki wa Chelsea Zarejea UpyaDrogba baada ya kurejea kundini.Didier Drogba wakati akifanyiwa...

View Article
Browsing all 2276 articles
Browse latest View live