Quantcast
Channel: GABRIEL KILAMLYA
Viewing all articles
Browse latest Browse all 2276

Article 0

$
0
0

VIJANA WATAKIWA KUOGOPA VISABABISHI VYA MACHAFUKO YA NCHI

.Ni kauli ya Wazee Waliopigana Vitani

.Kumbukumbu ya Mashujaa

 Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa kasimama kikakamavu wakati wimbo wa Taifa ukipigwa kwenye Maadhimisho ya siku ya Kumbukumbu ya Mashujaa yaliyofanyika katika bustani ya Mnazi mmoja jijini Dar es salaam leo Julai 25, 2014
  Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwela ngao kwenye mnara wakati wa Maadhimisho ya siku ya Kumbukumbu ya Mashujaa yaliyofanyika katika bustani ya Mnazi mmoja jijini Dar es salaam leo Julai 25, 2014
 Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Mohamed Ali Shein kwenye Maadhimisho ya siku ya Kumbukumbu ya Mashujaa yaliyofanyika katika bustani ya Mnazi mmoja jijini Dar es salaam leo. Wengine ni
 Makamu wa Rais Dkt Mohamed Ghalib Bilali na Waziri Mkuu Mzengo Pinda leo Julai 25, 2014
  Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Waziri Mkuu Mstaafu Mhe Frederick Sumaye  kwenye Maadhimisho ya siku ya Kumbukumbu ya Mashujaa yaliyofanyika katika bustani ya Mnazi mmoja jijini Dar es salaam leo.Wengine toka kushoto ni Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe Maalim Seif Shariff Hamad, Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe Mohamed Chande Othman na Jaji Mkuu wa Zanzibar  Mhe omar  Othman makungu leo Julai 25, 2014
  Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiamkiana na wazee wa Tanzania Legion waliopigana katika vitra kuu ya dunia ya pili  waliohudhuria  kwenye Maadhimisho ya siku ya Kumbukumbu ya Mashujaa yaliyofanyika katika bustani  ya Mnazi mmoja jijini Dar es salaam leo Julai 25, 2014
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa kasimama kikakamavu wakati wimbo wa Taifa ukipigwa kwenye Maadhimisho ya siku ya Kumbukumbu ya Mashujaa yaliyofanyika katika bustani ya Mnazi mmoja jijini Dar es salaam leo Julai 25, 2014.
kwa hisani ya jiachie blog 

Na Gabriel  Kilamlya Njombe
Wakati Tanzania  Ikiadhimisha Kumbukumbu ya Mashujaa Waliofariki Wakati wa Vita Mbalimbali Ikiwemo ya Tanzania na Uganda Mwaka 1978 , Baadhi ya Wazee Mjini Njombe Waliopigana Vita Hiyo  Wamewaasa Wananchi Kuendelea Kulinda na Kutunza Amani na Utulivu Uliopo Nchini

Wakiongea na www.gabrielkilamlya.blogspot.com Baadhi ya Wazee Hao Akiwemo Mzee Benedict Mbeyela Wamesema Hakuna Kinachoweza Kufanyika Nchini Bila ya Kuwepo Kwa Amani Huku Wakiwataka Vijana Kuacha Tabia ya Kujiingiza Kwenye Machafuko Yanayoweza Kusababisha Vita.

Nako Mkoani Mbeya Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Abbas Kandoro Amewasa Wananchi Kutunza Amani , Huku Akiwaomba Viongozi wa Dini na Wanasiasa Mkoani Humo Kuhakikisha Wanawaongoza Wananchi Wao Kwa Kufuata Sheria za Nchi Kama Zinavyoelekeza .

Maadhimisho ya Kumbukumbu ya Mashujaa Hufanyika Julai 25 Kila Mwaka Ambapo Kitaifa Madhimisho Hayo Yamefanyika Katika Viwanja Vya Mnazi moja Jjijini Dar Es Salaam Huku Rais Jakaya Kikwete Akiwa Mgeni Rasmi. 

Viewing all articles
Browse latest Browse all 2276

Trending Articles