Quantcast
Channel: GABRIEL KILAMLYA
Viewing all articles
Browse latest Browse all 2276

Article 0

$
0
0
Na Gabriel Kilamlya WANGING'OMBE;

Licha ya Serikali Wilayani Wanging'ombe Kuagiza Kuwachukulia Hatua za Kisheria Wazazi Ambao Watoto Wao Wameacha Shule na Wale Ambao Hawajaripoti Katika Shule Walizopangiwa , Bado Idadi ya Wanafunzi Waliaocha Shule Imeonekana Kuongezeka Wilayani Humo.

Katika Utafiti Uliofanya na Serikali Wilayani Wanging'ombe  Umeonesha Kuwa  Zaidi ya Wanafunzi 500 Hawafahamiki Waliko Tangu Shule Zifunguliwe Huku Baadhi Yao Wakionekana Kutoroka Mara Baada ya Kuripoti Shule Wazilizopangiwa

Akizungumza na www.gabrielkilamlya.blogspot.com  Mkuu wa Wilaya Hiyo Bi. Esterina Kilasi Amesema Katika Utaifiti Huo Umebaini Kuwa Baadhi ya Wazazi Huwashawishi Watoto Wao Wasifanye Vizuri Katika Mitihani Yao ya Mwisho ya Shule za Msingi Licha ya Kuonesha Jitihada Kubwa Kuwasomesha Katika Shule za Msingi.

Kwa Upande Wao Baadhi ya Wananchi Walioongea na Uplands Wamesema Kitendo cha Kuwepo Michango Mingi Wanayochangishwa Shuleni ni Mwa Sababu Zinazochangia Baadhi ya Wazazi na Walezi Kushindwa Kuwasomesha Watoto Wao.

Aidha Wananchi Hao Wamesema  Serikali Ilitangaza Kufuta  Ada Shule za Msingi na Kushusha Gharama Kwa Shule za Sekondari Lakini Gharama za Kusomesha Zimekuwa Zikiongeza Husuasan Michango .

Viewing all articles
Browse latest Browse all 2276

Trending Articles