Polisi wakamata Vifaranga vya kuku 6,400
Arusha. Vifaranga vya kuku 6,400 vinatarajiwa kuchomwa moto baada ya kunaswa vikiingizwa nchini kupitia Longido mkoani Arusha.Vifaranga hivyo vilikamatwa juzi...
View ArticlePolisi wawili wasimamishwa kazi
Polisi wawili wa trafiki nchini Afrika Kusini wamesimamishwa kazi na wanakabiliwa na mashtaka ya kuaibisha kikosi cha polisi baada ya video yao "wakila pesa" kusambaa sana mitandao ya kijamii.Video...
View ArticleSababu za Rais Magufuli Kutokugawa Milion 50 Alizoahidi Kwa Kila Kijiji
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Joseph Magufuli, ameeleza sababu zinazomfanya achelewe kutimiza ahadi ya milioni 50 kwa kila kijiji alizoziahidi wakati wa kampeni za kugombea...
View ArticleBREAKING NEWZZZ: ZITTO KABWE AKAMATWA NA POLISI ASUBUHI YA LEO.
Kiongozi wa chama cha ACT- Wazalendo, Zitto Kabwe amekamatwa na Jeshi la Polisi asuhubi hii akiwa nyumbani kwake na amepelekwa kituo cha Polisi Chang'ombe wilayani Temeke jijini Dar es Salaam.Taarifa...
View ArticleCCM SINGIDA:HASIRA ZA KUKOSA UWAZIRI KWA MUONDOA NYALANDU
Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Singida kimesema sababu zilizotolewa na aliyekuwa Mbunge wa Singida Kaskazini, Lazaro Nyalandu za kuacha ubunge hazina mashiko, isipokuwa kilichomsukuma kufukia uamuzi...
View ArticleMBOWE ASEMA MILANGO IKO WAZI KWA NYALANDU
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, Freeman Aikael Mbowe, amemkaribisha aliyekuwa Mbunge wa Singida Mashariki na Mjumbe wa Halmashauri Kuu CCM , Lazaro Nyalandu baada ya kuweka wazi...
View ArticleRais Magufuli awapa siku 14 wamiliki wa viwanda
Rais John Magufuli ametoa siku 14 kwa wamiliki wa kiwanda cha nguo cha Mwatex cha jijini Mwanza na cha dawa cha Keko jijini Dar es Salaam kuonyesha mpango madhubuti wa kiutendaji na uendeshaji.Amesema...
View ArticleTAARIFA MPYA:ZITTO KABWE AACHIWA KWA DHAMANA NA KUTAKIWA KURIPOTI KWA DCI...
Mbunge wa Kigoma Mjini na kiongozi wa ACT Wazalendo, Zitto Kabwe ameachiwa huru kwa dhamana na kutakiwa kuripoti siku ya Jumanne saa tatu asubuhi kwa Mkurugenzi wa upelelezi wa Makosa ya jinai (DCI)...
View ArticleRais Magufuli afunguka mazito kuhusu wanaohama CCM
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amefunguka na kusema kuwa wapo watu ambao walikuwa ni wezi katika Chama Cha Mapinduzi (CCM) na kusema saizi watu hao wamekimbilia Chama...
View ArticleBENKI YA MAENDELEO YA KILIMO KUSAIDIA MAGEUZI YA KILIMO NJOMBE
Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Mhe. Christopher Ole Sendeka akihimiza jambo wakati wa mazungumzo yake na ugeni kutoka Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) Benki ya Maendeleo ya Kilimo ya Tanzania...
View ArticleCHADEMA Wajiapiza Kuchukua Ushindi Jimbo la Nyalandu
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimesema kina uhakika wa kushinda uchaguzi mdogo wa ubunge wa jimbo la Singida Kaskazini ambalo Bunge lilitangaza jana kuwa liko wazi baada ya aliyekuwa...
View ArticleTRA yaeleza sababu za kusitisha utoaji wa leseni za udereva
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imeeleza kuwa itaendelea na zoezi la utoaji wa leseni za udereva kwa wote walioomba, baada ya zoezi hilo kusitishwa kwa muda.Mkurugenzi wa Elimu na Huduma kwa mlipa...
View ArticleMwenyekiti wa kijiji afukuzwa kazi kwa kupiga chabo
(Picha sio ya tukio husika)Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga, Josephine Matiro amemsimamisha kazi mwenyekiti wa kijiji cha Sayu, Mataifa Balekele mwenye umri wa miaka 54, kwa kulalamikiwa na wananchi kuwa na...
View ArticleNASA WATAKA ENEO LA PWANI LIONDOLEWA KWENYE RAMANI
Mombasa, Kenya. Baadhi ya wanasiasa na viongozi wa Muungano wa National Super Alliance (Nasa) eneo la Pwani wameibua mjadala wakitaka eneo hilo kuondolewa katika ramani ya Kenya.Wanasiasa takriban 18...
View ArticleMCHUNGAJI ABATIZA KWA KUTUMIA POMBE
Mchungaji mmoja huko Afrika Kusini amekuwa akikosolewa vikali baada ya kuanza kubatiza washirika kwa kutumia vilevi ambavyo wanavipenda kitendo ambacho ni kinyume na utaratibu.Askofu Tsietsi Makiti,...
View ArticleUTALII NYANDA ZA JUU KUSINI KUTILIWA MKAZO
WAJASILIA MALI UTALII WA UTAMADUNI WATAKAKIWA KUTUMIA MIDANDAO YA KIJAMII KUJITANGAZAWadau Wanaofanyakazi katika Sekta ya Utalii Nyanda za Juu Kusini mikoa ya Njombe Iiringa na Mbeya wametakiwa kutumia...
View Article