Quantcast
Channel: GABRIEL KILAMLYA
Browsing all 2276 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BREAKING NEWZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZ RAIS JAMMEH AKUBALI KUNG'ATUKA

Rais Yahya Jammeh wa Gambia akubali kukabidhi madarakaBaada ya kutokea mivutano mikubwa ya kisiasa, hatimaye Rais Yahya Jammeh wa Gambia amekubali kuondoka madarakani.Mwandishi wa Radio Tehran...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

DONALD TRUMP KUAPISHWA LEO

Trump aahidi umoja na mabadiliko kabla ya kuapishwa MarekaniDonald Trump ameahidi kuwaunganisha Wamarekani alipokuwa anawahutubia wafuasi wake wakati wa tamasha la mkesha wa kuapishwa kwake kuwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Msajili wa Vyama Ashikilia Msimamo wake Wa Kumtambua Profesa Lipumba kama...

Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, Jaji Francis Mutungi amesema hana hofu ya kuchafuliwa kutokana na tuhuma zinazotolewa dhidi yake, huku akisema msimamo wake uko palepale na kwamba anamtambua Profesa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Picha za Jammeh akiondoka Gambia baada ya kuachia madaraka

Habari nyingine kubwa kwa Afrika sasa hivi ni Yahya Jammeh kukubali kuachia madaraka ya Urais Gambia baada ya kushindwa na mpinzani wake Adama Barrow kwenye uchaguzi mkuu uliopita.Jammeh ameondoka kwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MKUU MAJALIWA KAAHIRISHA ZIARA NJOMBE NA KWENDA KUMPOKEA RAIS WA UTURUKI

Rais wa Uturuki kuwasili nchini leo Taarifa kuhusu ziara ya Rais wa Uturuki nchiniRais wa Jamhuri ya Uturuki, Mheshimiwa Recep Tayyip Erdogan anatarajiwa kufanya ziara ya kitaifa ya siku mbili nchini...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Sakata la ruzuku CUF latua BoT,Maalim Seif ateta na Gavana

Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif  Sharif Hamad, amemwandikia barua Gavana wa Benki ya Tanzania (BoT), Profesa Beno Ndulu ili achukue hatua za kulishughulikia sakata la fedha za...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mbowe apewa siku 14 kulipa deni LA MILIONI 13.5

Miezi takribani mitano iliyopita tangu aondolewe Billcanas, siku moja tangu Serikali imzuie asiendelee na shughuli za kilimo katika shamba lake, Mwenyekiti huyo wa Chadema amepewa siku 14 awe amelipa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Taarifa ya Bunge kuhusu Dkt Abdallah Possi kujiuzulu ubunge

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKUU WA MKOA WA KWANZA KUTUMBULIWA SERIKALI YA AWAMU YA TANO KWA KUSEMA UONGO...

Rais Dkt Magufuli amteua Anne Kilango Malecela kuwa mbunge Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli,  tarehe 21 Januari, 2017 amemteua Anne Kilango Malecela kuwa Mbunge wa Bunge...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MKUU AZINDUA OFISI ZA HALMASHAURI YA WILAYA YA WANGING'OMBE NA JENGO...

Waziri Mkuu: Vijiji 53 Njombe Kupatiwa Huduma Ya Maji WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema jumla ya vijiji 53 vya mkoa wa Njombe vitapatiwa huduma ya maji safi na salama katika mwaka huu wa fedha.Alitoa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGAZETINI LEO JUMAPILI JAN22 , 2017

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AKABIDHI MSAADA WA LAPTOP

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi Laptop Mwandishi Chipukizi wa Vitabu vya Taaluma, Ali Salum Alujai ukiwa ni msaada aliompatia ili aweze kufanya vizuri zaidi katika uandishi wake. Makabidhiano...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ZIARA YA WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA WILAYANI WANGING'OMBE

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Makamu Mwenyeiti wa CCM (Bara) Philip Mangula baada ya kuwasili kwenye jengo la Halmashauri ya Wilaya ya Wanging’ombe kufungua jengo hilo Januri 21, 2017....

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TANZIA: Kamanda wa polisi wa zamani mkoa wa kilimanjaro Dkt. Mohamed Chico...

Kamanda wa polisi wa zamani mkoa wa kilimanjaro Dkt. Mohamed  Chico amefariki Dunia  usiku wa kuamkia leo jijini Dar es salam. Kwa mujibu wa msemaji wa familia Bw. Awadhi Chico, mazishi yake yamepangwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

wakuu wa nchi za umoja wa Afrika katika mkutano wao wa 28 jijini Addis Ababa,...

Picha ya pamoja ya wakuu wa nchi za umoja wa Afrika katika mkutano wao wa 28 jijini Addis Ababa, Ethiopia. Rais Dkt John Pombe Magufuli ni wa pili mstari wa pili...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mkoa wa Njombe umeongoza katika mikoa 10 iliyofanya vizuri zaidi kitaifa...

Mtokeo ya Kidato cha Nne 2016 Yametoka......Bofya Hapa Kuyatazama Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA) limetangaza matokeo ya kidato cha nne mwaka 2016 ambapo umefaulu wa jumla umeongezeka kwa 2.56%...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGAZETINI FEB 1,2017

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MIKOA YA NJOMBE NA IRINGA YAPEWA TUZO KWA KUFIKIA 98% YA UTOAJI WA VYETI VYA...

 WAZIRI WA MAMBO YA KATIBA NA SHERIA HARISON MWAKYEMBE BAADA YA KUWASILI MKOA WA NJOMBE KATIKA ENEO LA UKUMBI WA CHUO CHA MAENDELEO NJOMBE MJINI AKISALIMIANA NA WAKUU WA WILAYA ,WAKURUGENZI NA...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Chelsea na Liverpool walilazimishana sare ya 1-1 na msimamo wa EPL ulivyo

Msimamo wa EPL ulivyo kwa sasa baada ya mechi za January 31 2017Usiku wa January 31 Liverpool waliwakaribisha Chelsea katika uwanja wao wa Anfield kucheza mchezo woa wa 23 wa Ligi Kuu England msimu wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS DKT. MAGUFULI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA MARAIS MBALIMBALI WA...

Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma akimkaribisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika moja ya Ofisi za Makao Makuu ya Umoja wa Afrika (AU) mjini Addis Ababa kwa ajili...

View Article
Browsing all 2276 articles
Browse latest View live