Waziri Mkuu: Tutapitia Upya Sababu Za Kuanzishwa Kwa Rubada
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali itapitia upya sababu za kuanzishwa kwa Mamlaka ya Bonde la Mto Rufiji (RUBADA) kufuatia mamlaka hiyo kuendeshwa kwa ubabaishaji.Hatua hiyo imekuja baada ya...
View ArticleNdege Ya Pili Ya Bombardier Q-400 Yawasili Jijini Dar Es Salaam Rais Magufuli...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli kesho anatarajiwa kuzindua ndege mbili mpya aina ya Bombardier Q 400 zilizonunuliwa na Serikali hivi karibuni.Katibu Mkuu wa Wizara ya...
View ArticleRais Magufuli Apokea Msaada Wa Tsh.milioni 545 Kutoka Serikali Ya India Kwa...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, leo tarehe 27 Septemba, 2016 amepokea msaada wa Shilingi Milioni 545 kutoka kwa Waziri Mkuu wa India Mhe. Narendra Modi kwa ajili ya...
View ArticleWatu wenye silaha washambulia Mandera, Kenya
Eneo la Mandera limekuwa likishambuliwa mara kwa mara na wapiganaji wa al-Shabaab Watu kadha wanahofiwa kufariki baada ya watu wenye silaha kushambulia mtaa mmoja mjini Mandera, kaskazini mashariki mwa...
View ArticleSerikali Yatangaza kiama kwa Madalali wa Ardhi na Nyumba
WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi ametishia kuwafutia usajili baadhi ya madalali wa ardhi na nyumba, kutokana na utendaji wao unaokiuka sheria wakati wa uuzwaji wa...
View ArticleWaziri Mkuu alipotembelea wafanyabiashara wa Soko la Sabasaba mkoani Dodoma
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameahidi kukutana na wafanyabiashara wa soko la Sabasaba mkoani Dodoma ili kuzungumzia namna ya kulikarabati na kulifanya liwe la kisasa.Amesema miongoni mwa mambo...
View ArticleLowassa na Kikwete Wakutana Uso Kwa Uoso Dar
Hatimaye mazishi ya kuuaga mwili wa Meya wa zamani wa Jiji la Dar es Salaam, Dk. Didas Masaburi, yamewakutanisha Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa na Rais mstaafu wa awamu ya nne, Jakaya Kikwete...
View ArticleWatu 13 Kizimbani Kwa Mauaji ya Watafiti Dodoma
Wanawake wanne na wanaume tisa wamefikishwa mahakamani mjini Dodoma na kusomewa mashtaka ya mauaji ya watafiti wa Chuo cha Utafiti wa Udongo na Maendeleo ya Ardhi kilichopo Selian mkoani Arusha. Mbele...
View ArticleJambazi Awajeruhi Kwa Bomu Askari na Raia Wanne Kigoma
Polisi na raia wanne wamejeruhiwa kwa bomu la kutupwa kwa mkono walipokuwa wakimkamata mtuhumiwa wa ujambazi kwenye Kijiji cha Uvinza mkoani Kigoma. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kigoma, Ferdinand Mtui...
View ArticleMkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mkinga Afikishwa Mahakamani Kwa Kosa...
Ilikuwa kama mchezo wa kuigiza kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Morogoro baada ya Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mkinga mkoani Tanga, Emmanuel Mkumbo kufikishwa ili apandishwe kizimbani kujibu...
View ArticleWATU 10 WAFA KWA AJALI YA BASI LA BARCELONA LINDI
Watu 10 wamefariki dunia na wengine 44 wamejeruhiwa baada ya basi la kampuni ya Barcelona walilokuwa wakisafiria kutoka jijini Dar es Salaam kwenda mkoani Lindi kupata ajali eneo na Miteja mkoani...
View ArticleMahakama Yaitupilia Mbali Kesi Ya Mbowe Hotels Dhidi Ya Shirika La Nyumba La...
Mahakama kuu kitengo cha Ardhi imetupilia mbali kesi ya maombi ya kurejea katika jengo iliyokuwa ofisi ya Tanzania Daima pamoja na ukumbi wa bilcanas.Hukumu hiyo imetolewa leo na Jaji mfawidhi wa...
View ArticleBREAKING NEWZZZZZZZZZZZZZZ,MATOKEO DARASA LA SABA 2016 YATANGAZWA
Serikali Yatangaza Matokeo ya Mtihani Darasa la 7......Bofya hapa Kuyaona Serikali imetangaza matokeo ya mtihani wa darasa la 7 kwa mwaka 2016 ambapo ufaulu umeongezeka kwa asilimia 2.52 na...
View ArticleTUMPIGIE KURA RAIS WETU DKT JOHN POMBE MAGUFULI KATIKA TUZO YA WATU MASHUHURI...
Rais wetu Dkt John Pombe Magufuli kachaguliwa na FOBES kushindania Tuzo ya Mtu mashuhuri wa Mwaka 2016 Africa!Tumpigie kura kwa wingi ili iatangaze Nchi yetu Duniani Kote,unaweza bofya link chini...
View ArticleUBALOZI WA PAPA, MAKANISA YAAMUA KUJENGA OFISI DODOMA
27 Oktoba, 2016 TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARIUBALOZI WA PAPA, MAKANISA YAAMUA KUJENGA OFISI DODOMA* Yaomba kupatiwa viwanja, Waziri Mkuu awahakikishia vipoWAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema...
View ArticleRAIS DKT. MAGUFULI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA MKURUGENZI MKUU WA MFUKO...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Maendeleo wa Abu Dhabi Mohamed Al Suwaidi aliyefika Ikulu kwa ajili ya mazungumzo.Rais wa...
View ArticleMUSWADA WA HABARI WAONGEZA UKAKASI KWA WADAU WA HABARI
Wahariri wamuangukia Rais Magufuli.......Wamtaka Amshughulikie Serukamba Kwa Kuvuruga Muswada wa Habar Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) limemwomba Rais John Magufuli kumshughulikia Mwenyekiti wa...
View ArticleWANAFUNZI 408,442 KIDATO CHA NNE WAMEANZA MTIHANI WA MWISHO LEO
Watahiniwa 408,442 wamesajiliwa na Baraza la Mitihani Tanzania (Necta) kufanya Mtihani wa Kidato cha Nne unaotarajia kuanza leo hadi Novemba 18, mwaka huu.Akizungumzia maandalizi ya mtihani huo, Katibu...
View ArticleSERIKALI IMETOA SH. BILIONI 2.4 KUBORESHA MRADI WA MAJI MAKAMBAKO-MAJALIWA
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali imetoa sh. bilioni 2.4 kwa ajili ya kuboresha mradi wa maji katika mji wa Makambako mkoani NjombeAmetoa kauli hiyo jana jioni (Alhamisi, Januari 19, 2017)...
View ArticleTOENI ELIMU YA URAIA KWA WAHUDUMU WA HOTELI NA ‘GESTI‘-MAJALIWA
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akihutubia mkutano wa hadhara kwenye uwanja wa polisi katika mji wa Makambako akiwa katika ziara ya mkoa wa Njombe Januari 19, 2017. Wananchi wa Makambako mkoani Njombe...
View Article