Quantcast
Channel: GABRIEL KILAMLYA
Viewing all 2276 articles
Browse latest View live

Article 8

$
0
0

MWILI WA MAREHEMU DR SENGONDO MVUNGI UMEWASILI nchini

 
jeneza lamwili wa marehem SENGONDOMVUNGI MARA BAADA YA KUWASILI  KWENYE  UWANJA WA NDEGE WA MWALIMU NYERERE LEO
dokta Sengondo Mvungi enzi za uhai wake.
VIONGOZI WA SERIKALI WALIOFIKA KUPOKEA MWILI WA MAREHEM MVUNGI

VIONGOZI WA SERIKALI PAMOJA NA NDUGU WA MAREHEM MVUNGI WAKIOMBEA

BAADHI YA VIONGOZI WA NCCR WALIOFIKA KUPOKEA MWILI WA MAREHEM MVBUNGI

VIJANA WA NCCR WAKIBEBA MWILI WA MAREHEM DR MVUNGI MARA BAADA YA KUWASILI LEO

VIJANA WA NCCR WAKIBEBA MWILI WA MAREHEM DR MVUNGI MARA BAADA YA KUWASILI LEO UKINGIZWA KWENYE GARI 

MWILI WA MAREHEM DR MVUNGI UMEWASILI LEO UKITOKEA AFRIKA YA KUSINI BAADA YA KUPELEKWA KWA AJILI YA KUTIBIWA BAADA YA KUPIGWA MAPANGA NA MAJAMBAZI  KESHO JUMAMOSI MWILI WAKE UTAPELEKWA KATIKA VIWAJA VYA KARIMJEE KUANZIA SAA 3 ASBUHI  PAMOJA NA MISA ITASOMWA PAPO HAPA WANANCHI WOTE WATAGA MWILI WA MAREHEM NA BAADAE MWOILI HUO UTAPELEKWA NYUMBANI KWAKE NA SIKU YA JUMAPILI UTASAFIRISHWA KUPELEKWA KIJIJINI KWAKE  KISANGARA JUU NA KUZIKWA.ratiba

Article 7

$
0
0


Hawa ni Baadhi ya Madereva wa Bodaboda Mjini Njombe Ambao Walifanya Maandamano ya Kwenda Kumtafuta Dereva Mwenzao na Kukutwa Amefariki Dunia Baada ya Kudaiwa Kutekwa Tangu Wiki Iliyopita.

Taarifa za Awali Toka Kwa Mmiliki wa Pikipiki Hiyo Bwana Justo Ngilangwa Mkazi wa Mtaa wa Kambalage Mjini Njombe Alisema kuwa Kijana Wake wa Kazi Aliyekuwa Akiendesha Pikipiki Yake Kama Bodaboda Aliyefahamika kwa Jina la Enock Kihindo Mwenye Umri wa Miaka 20 Alitoweka Katika Mazingira ya Kutatanisha Akidaiwa Anampeleka Mteja Huko Katika Kijiji cha Yakobi Ambako Mwili Wake Umekutwa.

Hivyo Kutokana na Tukio Hilo Madere Wenzeke Kutoka Mjini Njombe Ndipo Walipochukua Hatua za Kumtafuta na Kisha Kuukuta Mwili Wake Huko Yakobi Ambako Ndiko Nyumbani Kwao Ukiwa Umetelekezwa.

Article 6

$
0
0

Article 5

$
0
0
 MADIWANI WANGING'OMBE WAITAKA SERIKALI KUCHUKUA HATUA ZA MAKUSUDI KUKARABATI BARABARA YA USALULE-LUGENGE.

 Baadhi ya Madiwani Wakiwa Kwenye Kikao cha Kwanza cha Madiwani Katika Halmashauri ya Wilaya Hiyo.
 Mhandisi Gerson Lwenge  Naibu waziri wa Ujenzi na Mbunge wa Jimbo la Njombe Magharibi.
Kaimu Mhandisi wa Halmashauri ya Wilaya ya Wanging'ombe Eng.Steven Haule Asema Barabara Hiyo Kwa Sasa Haina Bajeti Yoyote Hivyo Hadi Bajeti Ijayo

Na Gabriel Kilamlya Wanging'ombe

Madiwani Wilayani Wanging'ombe Mkoani Njombe Wameitaka Serikali Kuchukua Hatua za Haraka Kufanya Ukarabati wa Barabara ya Usalule-Lugenge Yenye Urefu wa Kilomita Nne Ambayo Mvua Zikinyesha Haitoweza Kupitika Tena.

Madiwani Hao Wamesema Endapo Serikali Haitochukua Hatua za Makusudi Katika Kuhakikisha Barabara Hiyo Inajengwa Ili Kuondoa Adha Ya Kukatika Kwa Mawasiliano Kufuatia Kuwepo Kwa Hali ya Kuanza Kwa Mvua Katika Siku za

Usoni.

Agnetha Mpangile ni Diwani wa Kata ya Ulembwe na Esterina Mbwilo ni Diwani Viti Maalumu Tarafa ya Imalinyi Ambao Wamesema Wamekuwa Wakilalamikiwa na Wananchi wa Maeneo Hayo Kwa Kushindwa Kuhamasisha na Kufuatilia Ili Barabara Hiyo Iweze Kulimwa Kitendo Kinachowafanya Kukosa Imani na Wananchi Wao.   

Akijibia Malalamiko Hayo Kaimu Mhandisi wa Halmashauri ya Wilaya ya Wanging'ombe Mhandisi Steven Haule Amesema Kuwa Kwa sasa Barabara Hiyo Imekosa Fedha za Dharula Kwa ajili ya Kufanya Ukarabati wa Muda Hivyo Itatengewe Bajeti Katika Awamu Ijayo.

Mhandisi Haule Amesema Barabara Hiyo Ilitumia Kiasi Kidogo Cha Fedha Ambacho ni Zaidi ya Shilingi Milioni 16 Hali Iliyopelekea Barabara Hiyo Kutokuwa Imara.

Kwa Upande Wake Naibu Waziri wa Ujenzi Mhandisi Gerson Lwenge Ameitaka Halmashauri ya Wilaya ya Wanging'ombe Kuomba Fedha za Mfuko wa Dharula Kutoka Kwenye Mfuko wa Taifa wa Barabara Ili Kuwanusuru Wananchi Hao Mara Baada ya Kukatika Kwa Mawasiliano.
.....................................................................................................................

KATA YA MJIMWEMA NJOMBE MBIONI KUKARABATI BARABARA ZAKE.

$
0
0

HII NI BARABARA AMBAYO WANANCHI WA MITAA HIYO YA MPECHI NA JOSHONI WAMEKUWA WAKILALAMIKIA KWAMBA INAHATARISHA USALAMA WA WATOTO NA WATU WAZIMA MSIMU WA MVUA KUTOKANA NA MAJI YA MVUA KUTILILIKA KWA WINGI HUENDA YAKAWACHUKUA WATOTO WAKAPOTEZA MAISHA KWA KIFO CHA MAJI.
 DIWANI WA KATA YA MJIMWEMA JIMMY NGUMBUKE AKIZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI AKIWA KATIKA OFISI YA MTAA WA JOSHONI KUHUSIANA NA MAREKEBISHO YA BAADHI YA BARABARA
 KWA MUJIBU WA MAELEZO YA DIWANI BARABARA HII FEDHA BADO HAZIJATOKA KWAAJILI YA KUTENGENEZEA MITARO YA MAJI HIVYO HUENDA ISITENGENEZWE MWAKA HUU.

Serikali Wilayani Njombe Inatarajia Kuanza Kufanya Ukarabati wa Muda wa Barabara za Mitaa ya Mpechi na Joshoni Mjini Njombe Kufuatia Barabara Hizo Kuharibika na Wakati Mwingine Kuhatarisha Maisha ya Wananchi wa Mitaa Hiyo Kutokana na Barabara Hizo Kuchimbika na Kuwa Makorongo.

Diwani wa Kata ya Mjimwema Jimmy Ngumbuke Amesema Katika Bajeti ya Mwaka wa Fedha wa 2013/2014 Serikali Inatarajia Kufanya Ukarabati wa Barabara Hizo Kwa

Kuanza Kuchimba Mitaro na Kufukia Mashimo Katika Mtaa wa Joshoni Eneo la Makaburini na Kumaliza Kero za Wananchi wa Mitaa Hiyo Inayowakabili Kwa Muda Mrefu.

Akielezea Sababu za Kuchelewa Kuanza Kwa Ukarabati wa Barabara za Mitaa Hiyo Diwani Ngumbuke Amesema Inatokana na Kuchelewa Kwa Fedha Kutoka Mfuko wa Barabara Taifa Kwa Ajili ya Matengenezo ya Barabara na  Kwamba Kwasasa Wamepata Fedha Kiasi Kwa Ajili ya Ukarabati wa Miundombinu ya Barabara Ambazo Zitatumika Kwa Baadhi ya Maeneno.

Aidha Diwani Ngumbuke Ameongeza Kuwa Wanatarajia Kuanza Mazungumzo na Mkandarasi Ambaye Ataweza Kufanya Kazi ya Ukarabati Katika Msimu wa Mvua na Kwamba Ukarabati Huo Unatarajiwa Kukamilika Ndani ya Mwaka Huu.

Kwa Muda Mrefu Wakazi wa Mitaa ya Mpechi na Joshoni WamekuwaWakilalamikia Ubovu wa Barabara za Maeneo Yao Hali Ambayo Ina Hatarisha Maisha ya Wakazi Hao Kufuatia Mitaro ya Barabara Hizo Kuchimbika na Kuwa Makorongo.


KWA HISANI YA MATUKIO NA NGILANGWA BLOG

Article 3

$
0
0

MJI WA MAKAMBAKO  NJOMBE BADO WAFUKUTA NA TATIZO KUBWA LA MAJI.

Wananchi  wa  mji  wa Makambako mkoani  Njombe  wakiwa katika foleni ya maji kama  walivyokutwa  kamera  yetu mapema leo

Article 2

$
0
0

TIMU YA NJOMBE MJI MAJI SHINGONI.
 
Leo yatandikwa na MAKAMBAKO UNITED GORI MOJA-O.
Mashabiki wa timu ya Makambako United wakishangilia ushindi kwa kuifunga Njombe mji fc



 TIMU YA MAKAMBAKO UNITED FC WAKIELEKEA MAPUMZIKO BAADA YA KUTOKA NA USHINDI KWA KUICHABANGA NJOMBE MJI BAO 1-0


 HII NI TIMU YA NJOMBE MJI WAKIINGIA UWANJANI KUUWAKABILI MAKAMBAKO UNITED LEO KATIKA UWANJA WA SABASABA


NJOMBE MJI NDANI YA UWANJA WA SABASABA
Hivi Karibuni Timu Hiyo Iliburuzwa Gori Mbili na Chai Fc na Kisha Mashabiki Kuanzisha Vurugu Kubwa  Katika Uwanja wa Chai
 
Timu ya mpira wa miguu ya Makambako United leo imetoa adhabu ya gori moja kwa bila katika mchezo wa mpira wa miguu ligi ya taifa ngazi ya mkoa uliowakutanisha na timu ya Njombe mji
Timu hiyo imeanza kuandika goli lake la kwanza kunako kipindi cha kwanza dakika ya 39 katika mchezo uliochezwa katika uwanja wa sabasaba.

Hadi dakika tisini zinakwisha timu ya Makambako United fc ilitoka na ushindi wa goli moja huku timu ya Njombe mji fc ikitoka bila kitu.

Katika uwanja wa Magereza kulikuwa na mchezo wa mpira wa miguu kati ya Luponde fc na Zamaleck fc katika ligi ya taifa ngazi ya mkoa ambapo Zamaleck fc imekubali kupokea kipigo cha magori sita huku Zamaleck fc ikiambulia goli moja katika mchezo uliozikutanisha timu hizo leo.

Article 1

$
0
0

ZIMBABWE  uso kwa Uso na Taifa Stars Kesho.

Uwanja wa Taifa Mpambano.

1314_b4e34.jpg
Kikosi cha Zimbabwe kinawasili leo mchana (Novemba 18 mwaka huu) kuikabili Taifa Stars katika mechi ya Kalenda ya Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA)- FIFA Date itakayofanyika kesho (Novemba 19 mwaka huu) Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
Msafara wa timu hiyo ukiwa na watu 30 utatua Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) saa 8 kamili mchana kwa ndege ya Kenya Airways yenye mruko namba KQ 484 kupitia Nairobi.
Kocha wa timu hiyo Ian Gorowa atazungumza na waandishi wa habari mara baada ya timu hiyo kutua JNIA. Kiongozi wa msafara wa timu ya Zimbabwe ni John Phiri.(P.T)
Wachezaji wanaounda kikosi hicho ni makipa; Frankson Busire, Maxwell Nyamupangedengu na Tapiwa Kapini. Mabeki ni Carrington Nyadombo, Felix Chindungwe, Innocent Mapuranga, Nkosana Siwela, Ocean Mushure na Patson Jaure.
Viungo ni Isaac Masami, Kundakwashe Mahachi, Milton Neube, Misheck Mburayi, Obey Mwenehari na Silas Dylan Songani. Washambuliaji ni Gerald Ndlovu, Lot Chiungwa, Nqobizitha Masuku, Simba Sithole na Themba Ndlovu.
Waamuzi wa mechi hiyo wanatoka Uganda wakati Kamishna atakuwa Leslie Liunda wa Dar es Salaam. Mwamuzi wa mezani ni Oden Mbaga pia wa Dar es Salaam.
Viingilio ni sh. 5,000 kwa viti vya rangi ya
bluu na kijani, sh. 30,000 kwa VIP A, sh. 20,000 kwa VIP B, sh. 15,000 kwa VIP C wakati viti vya rangi ya chungwa ni sh. 10,000.
Tiketi zinauzwa kwenye magari maalumu katika vituo vya; Shule ya Sekondari Benjamin Mkapa, mgahawa wa Steers uliopo Mtaa wa Ohio na Samora, Dar Live Mbagala, OilCom Ubungo, Uwanja wa Uhuru, na kituo cha mafuta Buguruni.
Boniface Wambura Mgoyo
Kaimu Katibu Mkuu
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF)
kwa hisani ya mjengwablog

Article 0

$
0
0
MMOJA MBARONI KWA TUHUMA ZA MAUAJI YA DEREVA BODABODA NJOMBE.

AKITOA MATUKIO YALIOJIRI KWA MASAA 24 YALIOPITA.

Jeshi la Polisi Mkoani Njombe Limethibitisa Kutokea Kwa Matukio Matatu ya

Mauwaji Huku Likiwashikilia Watu Wawili Kwa Tuhuma za Kuhusika na Mauwaji

Hayo Likiwemo la Dereva Pikipiki Enock Kihindo Aliyeuwawa Kwa Kunyongwa na

Kisha Mwili Wake Kutupwa Porini.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Njombe ACP Fulgency Ngonyani Amesema Mnamo

Novemba 16 Mwaka Huu Marehemu Enock Kihindo Alikutwa Akiwa Amefariki Huki

Mwili Wake Ukiwa Umetupwa Porini Barabara ya Kuelekea Yakobi.

Marehemu Enock Kihindo Aliondoka Katika Kituo Chake cha Kazi Novemba Kumi

Mwaka Huu Majira ya Jioni Baada ya Kukodiwa na Mtu Ambaye Alidai Ampeleke

Maeneo ya Yakobi na Kwamba Katika Tukio Hilo Jeshi la Polisi Linamshikilia Mtu

Mmoja Ambaye Jina Lake Limehifadhiwa Kwa Mahojiano Zaidi.

ACP Ngonyani Amesema Tukio la Tatu Limetokea Katika Kijiji cha Mavala Wilayani 

Ludewa Ambapo Charles Luoga Mwenye Umri wa Miaka 87 Amefariki Baada ya

Kuungua Kwa Ajali ya Moto Huku Taarifa Zikieleza Kuwa Marehemu Alikuwa

Anaishi Pekee Yake Shambani  Hali Iliyopelekea Kushindwa Kujiokoa Baada ya Ajali

Hiyo ya Moto Kutokea.

Kamanda Huyo wa Polisi Mkoa wa Njombe Amesema Jeshi Hilo Linaendelae na

Uchunguzi wa Vyanzo Vya Matukio Hayo na Pindi Utakapo Kamilika Wahusika

Watafikishwa Mahakamani Kujibu Tuhuma Zinazowakabili Huku ACP Ngonyani

Akiwataka Wananchi Kutojichukulia Sheria Mkononi.

Article 24

$
0
0
WAFANYABIASHARA SACCOS NJOMBE LEO WAFANYA MKUTANO MKUU WA MWAKA.

 MWENYEKITI WA CHAMA CHA USHIRIKA CHA AKIBA NA MIKOPO SACCOS YA NJOMBE MJINI ERNEST NYANDOA AKIWA KWENYE MKUTANO HUO
 MGENI RASMI AFISA USHIRIKA WA HALMASHAURI YA MJI WA NJOMBE WILLIAM KINYAGA AKITOA HOTUBA YAKE KATIKA UKUMBI WA TURBO NJOMBE MJINI

 AFISA MWANDAMIZI WA SHIRIKA LA HIFADHI YA JAMII NSSF MKOA WA NJOMBE BWANA NGUSA SOMOLO AKITOA NASAHA KWA WANACHAMA WA SACCOS YA NJOMBE MJINI
 KAIMU MRAJISI AKITOA USHAURI JUU YA KUIFUTA BODI YA CHAMA

  MUWAKILISHI TOKA BANK YA CRDB YA NJOMBE MJINI

 MENEJA WA SACCOS YA NJOMBE MJINI PATRYOBA KYANDO AKITOA TAARIFA YA HESABU ZA MAPATO NA MATUMIZI YA SACCOS HIYO


 WAJUMBE NA WANACHAMA WA SACCOS YA NJOMBE MJINI WAKISIKILIZA NA KUCHANGIA HOJA JUU YA CHANGAMOTO MBALIMBALI ZINAZOIKALI SACCOS PAMOJA NA KUSHAURI NAMNA YA KUIENDESHA ILI WANACHAMA WANUFAIKE NAYO

AFISA USHIRIKA WA HALMASHAURI YA MJI WA NJOMBE ....HABARI ITAKUJIA HIVI PUNDEE ENDELEA KUFUATILIA MTANDAO HUU

Article 23

$
0
0

MAKAMU WA RAIS DKT. MOHAMMED GHARIB BILAL, AIWAKILISHA TANZANIA KATIKA MKUTANO WA TATU WA AFRO – ARAB NCHINI KUWAIT.


Makamu wa Rais wa Jmhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Mohammed Gharib Bilal ameiwakilisha Tanzania katika mkutano wa mashirikiano baina ya nchi za Afrika na zile za Kiarabu, mkutano wa siku mbili unaofanyika katika nchini Kuwait. Mkutano huo unaohudhuriwa na viongozi wa nchi zaidi ya 70 unalenga kuimarisha ushirikiano wa Afrika na nchi za Kiarabu na unapitia makubaliano ya mkutano wa Sirte, Libya uliofanyika mwaka 2011. 
 
Mkutano huu unafanyika kukiwa na mabadiliko kadhaa ya kiasiasa, kiuchumi na kimkakati baina ya nchi za kanda hizi mbili huku taswira ya kukua kwa ushikiano huu zikionekana bayana kuwa muhimu zaidi sasa kuliko ilivyokuwa huko nyuma. Hii inatokana na nchi za kanda hizi mbili, kukabiliwa na changamoto nyingi zinazofanana na zinazohitaji majibu ya pamoja baina ya nchi za kanda hizi mbili. Baadhi ya changamoto hizo ni pamoja na; mtikisiko wa uchumi, hali ya ulinzi na usalama, majanga yanayoikabili dunia, usalama wa chakula na ugaidi.
 
“Changamoto hizi hatuwezi kuzikabili wenyewe kama Tanzania ama kama Afrika. Tunahitaji wenzetu wa ukanda huu wa nchi za Kiarabu kushirikiana nasi. Katika umoja wetu tutafanikiwa kirahisi kuliko kama tutazikabili changamoto hizi tukiwa tumejitenga,” alisema Mheshimiwa Makamu wa Rais.
 
Tanzania licha ya kuwa na wananchi wake katika nchi mbalimbali za dunia, tawimu zinaonesha kuwa, idadi kubwa ya wananchi hao wapo katika nchi za Kiarabu hali inayoashiria umuhimu wa kukuza mahusiano baina ya Tanzania pekee dhidi ya ukanda wa nchi za Kiarabu. Katika siku za hivi karibuni kupitia Diplomasia ya Uchumi, Tanzania imefungua njia kwa wawekezaji wa nchi za Kuwait, Oman na UAE na sasa taswira ya mahusiano ya Tanzania na nchi hizi ni ya kuvutia ambapo inatoa fursa za kunufaika kiuchumi kwa Tanzania kutoka katika ukanda huu kuliko kwa wadau wa maendeleo wa kanda zingine ambazo Tanzania imekuwa ikishirikiana nazo.
 
Akizungumza wakati wa kutoa taarifa ya kikao hiki kwa Makamu wa Rais, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa ambaye pia yupo katika msafara wa Mheshimiwa Makamu wa Rais, Bernard Membe alisema, kazi kubwa ya mahusiano baina ya Tanzania na nchi za ukanda huu imejengwa na Rais Jakaya Kikwete na sasa milango imefunguliwa kwa Watanzania kuchangamkia fursa za maendeleo hasa katika suala zima la masoko ya bidhaa za kilimo, ufiugaji na utalii.
 
Katika Hotuba yake kwenye mkutano huu, Mheshimiwa Makamu wa Rais licha ya kutoa shukrani na salamu za Tanzania kwa Amiri wa Kuwait, Sheikh Sabah Al-Ahmad Al-Jaber Al-Sabah na wananchi wa Kuwait na kwa viongozi wote wan chi za kanda hizi mbili, Mheshimiwa Makamu wa Rais alifafanua kuwa Tanzania inatambua mahusiano ya kitamaduni, kihistoria na kijiografia yaliyopo baina ya kanda hizi mbili na kwamba zaidi ya theluthi mbili ya watu wa ukanda wa nchi za Kiarabu wanaishi Afrika hali inayochagiza umuhimu wa uhusiano wa kanda hizi. 
 
Pia Mheshimiwa Makamu wa Rais alifafanua kuwa, Mkutanouliofanyika Libya mwaka 2011, haukuonesha mafanikio ya wazi hasa katika miradi ya Maendeleo na akauomba mkutano huu wa Kuwait, kuhakikisha kanda hizi zinaongeza spidi ya kufanikisha malengo ya kimaendeleo, ili wananchi wa kanda hizi wazidi kunufaika kutokana na mahusiano haya.
 
Katika msafara huo, Mheshimiwa Makamu wa Rais pia ameambatana na Waziri wa Kilimo na Chakula, Enginia Christopher Chiza, Waziri wa Ardhi, Makazi, Maji na Nishati wa SMZ, Ramadhan Shaaban, Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Gregory Teu, Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Servacius Likwelile na Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda na Biashara, Uledi Mussa. Pia katika msafara huo wapo wabunge Hamad Rashid na Khalifa Khalifa.
Imetolewa na: Boniphace Makene
Mwandishi wa Habari wa Makamu wa Rais
kwa Hisani ya Fg blog

Article 22

$
0
0

WAANDISHI WA HABARI WATAMBULISHWA MPANGO WA UCHANGIAJI KWA HIARI PSPF.

 

 Kaimu Mkurugenzi wa Uendeshaji PSPF ambaye pia ni Meneja wa kumbukumbu, Chacha Nyaikwabe
 Kutoka kushoto ni Afisa Mawasiliano, Masoko na Uenezi wa PSPF, Hawa Kikeke, Kaimu Mkurugenzi wa Uendeshaji PSPF ambaye pia ni Meneja wa kumbukumbu, Chacha Nyaikwabe na Frank Mvungi wa Maelezo wakati PSPF ilipozungumza na waandishi wa habari kwenye ukumbi wa habari maelezo

Waandishi wa habari wakisikiliza ufafanuzi kuhusu mfuko wa pensheni PSPF.


 Kutoka kushoto ni Afisa Mawasiliano, Masoko na Uenezi wa PSPF, Hawa Kikeke, Kaimu Mkurugenzi wa Uendeshaji PSPF ambaye pia ni Meneja wa kumbukumbu, Chacha Nyaikwabe
 *********************
Waandishi wa habari nchini wameshauriwa kujiunga na mpango wa uchangiaji wa hiari (PSPF Supplementary Scheme PSS) katika Mfuko wa pesheni wa PSPF ili kujiwekea akiba yenye mafao bora na itakayowainua kiuchumi.

Wito huo umetolewa na Kaimu Mkurugenzi wa Uendeshaji PSPF ambaye pia ni Meneja wa kumbukumbu, Chacha Nyaikwabe wakati akizungumza na waandishi wa habari kwenye ukumbi wa habari maelezo Novemba 19 mwaka huu.

Nyaikwabe amesema mpango wa uchangiaji wa hiari ni msaada mkubwa kwa watu wote walio na wasio katika sekta rasmi ambao kwa kujiunga na mpango huo watanufaika na mafao ya elimu, ugonjwa, ujasiliamali, fao la uzeeni, kujitoa na mkopo wa nyumba kwa wale watakaokidhi vigezo.

“PSPF sasa ni kwa watu wote walio kwenye sekta rasmi na wale ambao hawako kwenye sekta rasmi maana lengo letu ni kuwafikia watu wengi ndani na nje ya nchi kupitia mpango huu wa uchangiaji wa hiari PSS ambao kiwango chake cha chini cha uchangiaji ni sh.10,000 kwa mwezi” anasema Nyaikwabe.

Akizungumzia mwamko wa watu kujiunga na mpango huo wa hiari PSS, Nyaikwabe amesema kumekuwa na mafanikio makubwa kwani tangu kuzinduliwa kwake mapema machi 7 mwaka huu tayari wanachama zaidi ya 2000 wamejiunga na mpango huo.

Kwa upande wake Afisa Mawasiliano, Masoko na Uenezi wa PSPF, Hawa Kikeke watu wengi wanajiunga na mfuko huo kutokana na ubora wa mafao yake na mikopo inayotolewa kwa wanachama waliojiunga na mfuko huo kwa miaka mitano tofauti na wakati wa nyuma ambapo mikopo ya nyumba ilitolewa kwa wanachama waliobakiza miaka mitano ya kustaafu.
 
Kwa hisani ya francisgodwin blog

Article 21

$
0
0

TMF YAWATAKA WANAHABARI WA MITANDAO KUFANYA KAZI KWA UMAKINI MKUBWA.

 

Mwezeshaji wa mafunzo ya uboreshaji wa uandishi katika mitandao ya kijamii (blogu) kutoka mfuko wa vyombo vya habari Tanzania (TMF) Simon Mkina katikati akimsikiliza kwa makini mwezeshaji mwezake Beda Msimbe wakati akitoa mfano wa uandishi bora wa habari za mitandaoni.


 Raziah Quallatein Mwawanga kutoka  TFM  akijitambulisha  mbele  ya  washiriki  wa mafunzo  ya ubora  wa uandishi  katika  mitandao  ya kijamii
 Mkufunzi  kutoka  Jamii Forums akiwanoa  wanahabari  juu ya uandishi  bora  wa mitandaoni 
Na  Francis Godwin Blogu-Dodoma

MFUKO  wa  vyombo  vya habari  Tanzania (TMF)  umewataka  wanahabari nchini  kujikita  zaidi  katika  uandishi wa habari za  uchunguzi ili  kuisaidia  jamii na  Taifa  badala ya  kuendelea  kuandika  habari  zisizo na uchunguzi. 

Rai hiyo  imetolewa leo  na mwezeshaji  wa  warsha  ya  siku nne  ya uboreshaji  wa uandishi  katika mitandao  ya  kijamii zikiwemo Blogu Bw. Simon Mkina  wakati wa mafunzo  hayo mjini  Dodoma.

Bw  Mkina alisema  kuwa  pamoja na TMF  kuamua  kuanza  kutoa  ruzuku   ya  habari  kwa blogu ila  bado sehemu  kubwa ya  wanahabari nchini   wamekuwa  wakiripoti matukio  zaidi  badala ya  kufanya uchunguzi na kuandika habari za kichunguzi  ambazo  ndizo zenye    msaada mkubwa katika Taifa.
Kwani  alisema kuwa  uandishi  ambao  utaleta  mabadiliko katika vyombo vya habari  hasa mitandao  ya  kijamii ni pamoja  na kuwa na ukweli wa  kutosha  wa habari zinazoandikwa badala ya  kutumia  vyombo  hivyo  kuandika habari  zisizo  na maadili pamoja na habari  zinazohatarisha usalama  wa taifa .

Hata  hivyo alisema  kuwa  hivi  sasa  mitandao  ya kijamii imekuwa  ikitumia  vibaya  japo  wanahabari   wamiliki  wa mitandao hiyo  watajipanga na  kujiunga na uandishi wa habari za kiuchunguzi  na zinazozingatia  maadili upo  uwezekano mkubwa  wa TFM  kuendelea  kutoa  ushirikiano kwa kutoa ruzuku kwa mitandao  hiyo ya kijamii.
Pia  alisema  kuwa wanahabari  hao   20  ambao  wamepatiwa mafunzo  ya  uandishi  bora  wa blogu ni chachu  kwao kutumia  mafunzio hayo kuleta  mabadiliko ya kweli kwa mitandao  hiyo ya kijamii ili iwe mfano mzuri  kwa vyombo  hivyo  vya habari za mtandaoni.

Katika  hatua  nyingi  Mkina alitaka  wanahabari hao  na  wengine ambao  hawajapatiwa mafunzo ya  uboreshaji  wa habari za mkitandaoni ni  vema  sasa  kurejea katika maadili .

Huku mkufunzi  wa mafunzo hayo  Beda Msimbe  alisema  kuwa lengo la kuanzisha mafunzo hayo ambayo ni ya kwanza  kufanyika ni  kutoka kuongeza ubora  wa uandishi  unaozingatia maadili katika mitandao  hiyo .
Alisema  kuwa  Mfuko wa vyombo vya habari Tanzania (TMF)  umeanza  kutoa mafunzo hayo kwa awamu ya kwanza na  kuwa  washiriki wa mafunzo hayo ndio  ambao  watapatiwa  ruzuku ya kwanza ya kufanya kazi  ya uandishi  kulingana na mawazo  ya habari  watakayowasilisha .

Pia  aliwaonya   wanahabari hao  kuacha  kutumiwa na wanasiasa   na badala  yake  kukubali kutumiwa na  wananchi  zaidi ili  kuwasaidia katika  kufikisha matatizo  yao kwa  viongozi  wao.

Msimbe  alisema  kuwa usalama  wa wanahabari  utaendelea  kuwa hatarini iwapo  wanahabari hawataheshimu maadili  na kuendelea  kutumika kwa  kuchafua  ama  kufanya uandishi  usio  zingatia maadili.

 Kwa  upande  wake afisa miradi wa TMF  Japheth Sanga  aliwataka  wanahabari hao  mbali ya kuandika habari za uchunguzi kuhakikisha  wanaheshimu sheria za nchi .
Kwa  upande wake  
Pia  alisema  TMF imekuwa ikisaidia  vyombo vya habari na  wanahabari nchini hivyo ili wanahabari hao kuendelea kunufaika na vema  kujiunga kama kundi na kuomba fedha  zaidi TMF.

Alisema iwapo  watafanya  vema katika awamu hii ya kwanza  wao kama TMF wataendelea  kuwasaidia na ikiwezekano kutoa vifaa vya kufanyia kazi wanahabari hao.

Article 20

$
0
0

POLISI NJOMBE WAKAA NA BODABODA KUJADILI HALI YA KUTISHA ILIYOIBUKA DHIDI YAO.





 BODABODA ZIKIWA ZIMEPAKIWA WAKATI WAMILIKI WAKE WAKIWA NDANI YA UKUMBI WA POLISI NJOMBE LEO

 WAMILIKI NA MADEREVA BODABODA WAKIINGIA NDANI YA UKUMBI WA POLISI NJOMBE KWENYE KIKAO NA POLISI KILICHO LENGA KUJADILIA SUALA LA KUPUNGUZA AJALI NA MATUKIO YA UHARIFU WA KUIBIWA PIKIPIKI NA MAUWAJI YANAYOFANYWA NA MAJAMBAZI MKOANI NJOMBE
 AFISA USALAMA WA BARABARANI MKOA WA NJOMBE MARO CHACHA AKIWAELEZA MADREVA HAO LENGO LA KUWAITISHA WAMILIKI NA MADEREVA WA BODABODA HIZO



 
Siku Kadhaa zilizopita Madereva wa Bodaboda waliingiwa na hali ya wasiwasi kutokana na matukio kadhaa yaliyotokea Mkoani Njombe dhidi yao na hivyo kuhatarisha usalama wa kazi zao.
 
Madereva hao wameonekana kuingiwa na hofu hiyo Ikiwa ni Wiki Moja tu Kupita Tangu Dereva Mwenzao wa Bodaboda Wa kituo cha Eneo la Sangamela Mjini Njombe Kutekwa na kuuawa Kinyama na Watu Wanaosadikika Kuwa ni Majambazi Ambapo Mtu mmoja Aliyekodi Pikipiki Kwa Kijana Huyo Ndiye Anasadikika Kusababisha Mauaji ya Dereva Huyo.

Sanjali na Hilo Lakini Pia Hivi Karibuni Kijana Mmoja Ambaye Hakujulikana alikutwa ametekwa na kutupwa Kwenye Maeneo ya Kata ya Njombe Mjini Ambaye Inasadikika Kuwa naye Alikuwa Dereva wa bodaboda.

Kutokana na matukio Hayo Madereva wa Bodaboda Mjini Njombe Wameingiwa na Hofu na Kuanza Kufikiria Mbinu Mbalimbali za Kuweza Kujilinda Bila Kupata Majibu ya Haraka.

Hivyo Jeshi la Polisi Mkoani Njombe Kupitia Kitengo cha Usalama Barabarani Limelazimika Kuwaita na Kujadili Namna ya Kuimarisha Ulinzi Katika Biashara zao.

Picha na Michael Ngilangwa.

KARIBU UTANGAZE NA MTANDAO HUU KWA BEI NAFUU, Fursa nzuri kwa Mfanyabiashara wa Mkoa wa Njombe.

$
0
0

NAIBU WAZIRI WA UCHUKUZI ATEMBELEA KARAKANA YA RELI MJINI MOROGORO.


Mafundi wa kampuni ya SMH/Rail ya nchini Malaysia wakiendelea na kazi ya kuunda upya moja wapo ya vichwa vya treni ambavyo vinaundwa kwenye karakana ya Reli mkoani Morogoro. Naibu Waziri wa Wizara ya Uchukuzi alitembelea karakana hiyo kuangalia maendeleo ya ujenzi wa Vichwa hivyo ambapo wamemuahidi kichwa cha kwanza kitakabidhiwa kwa Serikali mwanzoni mwa mwezi Disemba 2013.

Naibu Waziri wa Wizara ya Uchukuzi, Dk. Charles Tizeba akiongea na vibarua walioajiriwa na kampuni ya SMH/Rail kutoka nchini Malaysia, asubuhi alipofanya ziara kwenye karakana ya Reli mkoani Morogoro kuangalia maendeleo ya uundwaji upya wa Vichwa vya Treni vya Shirika la Reli Tanzania(TRL). Naibu Waziri huyo ameuagiza uongozi wa kampuni hiyo kuhakikisha kuwa vibarua hao wanapewa mikataba kama watafanya kazi zaidi ya miezi mitatu kama sheria za kazi zinavyowataka.
Naibu Waziri wa Wizara ya Uchukuzi, Dk. Charles Tizeba akioyeshwa mpango kazi wa kampuni ya SMH/Rail na Mhandisi wa Kampuni hiyo, Eng. Mohd Hisham(Kulia kwa Naibu Waziri) ambayo inaunda upya vichwa vya treni katika karakana ya Reli Mkoani Morogoro. Naibu Waziri ametembelea karakana hiyo leo Asubuhi kuangalia maendeleo ya undwaji upya wa vichwa vya treni ambavyo viko kwenye mpango wa matokeo makubwa sasa kwenye sekta ya Uchukuzi.

Naibu Waziri wa Uchukuzi akiongea na Naibu Mtendaji Mkuu, Uendeshaji wa Shirika la Reli Tanzania (TRL), Mhandisi Paschal Mafikiri (wa kwanza kushoto), wakati alipotembelea Karakana ya Reli Mkoani Morogoro, leo asubuhi kuangalia maendeleo ya undwaji upya wa vichwa vya treni. Kichwa cha kwanza kinategemea kukamilika mwanzoni mwa Mwezi wa Disemba 2013.

CREDIT michuziblog

Article 18

$
0
0

Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshiya Ulinzi na Usalama  Dkt Jakaya Mrisho Kikwete, Amewapandisha Vyeo Maafisa 77 wa Jeshi la Polisi Kutoka Cheo cha Kamishina Msaidizi wa Polisi (ACP) na Kuwa Kamishina Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP).

Kwa Mujibu wa Taarifa ya Jeshi la Polisi Nchini Iliyotolewa na Msemaji wa Jeshi Hilo Kwa Vyombo Vya Habari  SSPAdvera Senso Imesema Miongoni mwa maafisa waliopandishwa vyeo kutoka cheo cha KamishinaMsaidizi wa Polisi kuwa Kamishina Msaidizi Mwandamizi wa Polisi ni pamoja na Mkuu wa Upelelezi Kanda Maalum ya Dar es Salaam Kamishina msaidizi wa Polisi ACP Ahmed Msangi, Kamanda wa Polisi wa mkoa wa Temeke Kamishina Msaidizi wa Polisi (ACP) Engelbert Kiondo, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ilala ACP. Marietha Minangi, Kamanda wa Polisi mkoa wa Mbeya ACP. DiwaniAthumani na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Singida Geofrey Kamwela.

Wengine ni Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kigoma ACP. Frasser Kashai, Kamandawa Polisi mkoa wa Morogoro ACP. Faustine Shilogile, Kamanda wa Polisi mkoawa Dodoma ACP. David Misime, Kamanda wa Polisi mkoa wa Mara ACP.Ferdinand Mtui, Kamanda wa Polisi mkoa wa Tanga ACP. Costantine Massawe,Kamanda wa Polisi mkoa wa Geita ACP. Leornad Paul, Kamanda wa Polisi mkoawa Pwani ACP. Ulrich Matei na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Lindi ACP. GeorgeMwakajinga.

Zaidi ya hao wengine ni, Kamanada wa Polisi Mkoa wa Shinyanga ACP. Evarist Mangala, Kamanda wa Polisi mkoa wa Ruvuma Deusedit Nsimeke, Kamanada wa Polisi mkoa wa Njombe ACP. Fulugence Ngonyani, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Katavi Dhahiri Kidavashari na baadhi ya Makamanda wa vikosi, Wakuu wavitengo, Mkuu wa Chuo cha Taaluma ya Polisi Moshi na Mkuu wa Chuo cha Taaluma ya Polisi Dar Es salaam.

Kufuatia kupandishwa vyeo kwa Maafisa hao wa Jeshi la Polisi, Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Said Mwema, amemshukuru Rais wa Jamuhuru ya Muunganowa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Mhe. DktJakaya Mrisho Kikwete kwa kutambua mchango wa Jeshi la Polisi katikakuimarisha ulinzi na usalama wa raia na mali zao.

Aidha, IGP Mwema amewapongeza wale wote waliopandishwa vyeo, na kuwataka kuendelea kufanya kazi kwa juhudi na weledi katika kuimarisha Usalama wa raiana mali zao kwa kuwa cheo ni dhamana.

Article 17

$
0
0
Serikali Wilayani Wanging'ombe Imetolea Ufafanuzi Juu ya Gari la Kubeba Wagonjwa Katika  Kituo cha Afya cha Wanging'ombe Lililokuwa Halifanyi Kazi Kwa Muda Mrefu na Kusema Kuwa Gari Hilo Linatarajia Kuanza Kazi Kuanzia Kesho Baada ya Kufanyiwa Matengenezo.

Kauli Hiyo ya Serikali Wilayani Wanging'ombe Imetolewa na Mkurugenzi Mtendaji wa  Halmashauri ya Wilaya Hiyo Bi. Lucy Msofe na Kuongeza Kuwa Gari Hilo Lilishindwa Kufanyakazi Kutokana na Kuharibika Pamoja na Bima ya Gari Hilo Kukaribia Kuisha.

Amesema Kwa Sasa Gari Hilo Limefanyiwa Matengenezo Pamoja na Kukatiwa Bima na Kwamba Litanza Kufanya Kazi ya Kubeba Wagonjwa na Kumaliza Tatizo la Muda Mrefu Lililokuwa Likiwakabili Wananchi wa Kata Hiyo na Maeneo ya Jirani.

Kauli Hiyo ya Serikali  Wilayani Wanging'ombe Imekuja Baada ya Wananchi wa Kata ya Wanging'ombe Kuitupia Lawama Serikali ya Wilayani Humo Kwa Kushindwa Kulifanyia Ukarabati Gari la

Kubeba Wagonjwa la Kituo cha Afya cha Wanging'ombe Hali Inayopelekea Wananchi wa Kata Hiyo Kuendelea Kukabiliwa na Tatizo Hilo.

Akiongea Kwaniaba ya Wananchi wa Kata ya Wanging'ombe , Diwani wa Kata Hiyo  Geofrey Nyagawa Amesema Tangu Gari Lifike Kituo Hapo Lilifanya Kazi Muda Mdogo na Kisha Kuacha Kutoa Huduma Baada ya Kuchakaa Kwa Magurudumu .



Na Gabriel  Kilamlya Wanging'ombe.
...........................................................................................................................

Article 16

$
0
0
ALICHOKIPANGA RAGE DHIDI YA KAMATI TENDAJI YA SIMBA FC HIKI HAPA.
 
Filamu Ijumaal Rage ameandaa mkakati mkali wa kujibu mapigo ya akina Kinesi atakapowasili Ijumaa.

 
 MWENYEKITI aliyesimamishwa Simba SC, Alhaj Ismail Aden Rage atarejea nchini Ijumaa na kulakiwa na mamia ya wanachama na ataitisha Mkutano Mkuu, ambao utafanyika Jumapili hii, BIN ZUBEIRY imeambiwa.
Na katika Mkutano huo, Rage amepanga kuwasimamisha Wajumbe wote wa Kamati ya Utendaji na baada ya hapo atasafiri kwenda nje ya nchi. Wajumbe wa Kamati ya Utendaji waliobaki Simba SC ni Joseph Itang’are ‘Kinesi’, Said Pamba, Ibrahim Masoud ‘Maestro’, Swedi Nkwabi na Zacharia Hans Poppe.
 
Habari za kiuchunguzi, ambazo BIN ZUBEIRY imezipata zimesema kwamba, Rage amekwishawasiliana na wafuasi wake wa Dar es Salaam na wameandaa mapokezi makubwa kwake atakapokuwa anawasili Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere, Dar es Salaam Ijumaa.
Baada ya hapo, Rage ataitisha Mkutano Mkuu wa dharula Jumapili na siku hiyo atawasimamisha Wajumbe wote wa Kamati ya Utendaji.
“Ni kwamba tumekwishajipanga na Mwenyekiti anarudi hapa Ijumaa na Jumapili unafanyika Mkutano Mkuu, Kinesi na wenzake wote nje,”alisema mmoja wanachama wanaomuunga mkono Rage ambaye kwa sasa yuko nchini Sudan kwa shughuli zake za kisiasa.
Hatua hiyo inafuatia kikao cha Kamati ya Utendaji ya Simba kilichokutana juzi mjini Dar es Salaam na kufikia uamuzi wa kumsimamisha Rage ambaye pia ni Mbunge wa Tabora Mjini kwa tiketi ya CCM, kwa kutokuwa na imani naye.
Rage anatuhumiwa kuchukua maamuzi mazito ya klabu bila kuwashirikisha wenzake na mengi yamekuwa yakiiweka klabu matatani. Pia, anatuhumiwa kwa ubadhirifu wa fedha za klabu na kukwamisha mambo mengi ya kimaendeleo ndani ya klabu, ikiwemo mabadiliko ya Katiba.
Baada ya kumsimamisha Rage, Kamati ya Utendaji pia ilimteua Joseph Itang’are ‘Kinesi’ kukaimu Uenyekiti wa klabu hadi hapo Mkutano Mkuu utakapofanyika.
Kinesi pia alikuwa anakaimu nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa klabu, iliyoachwa wazi na Geoffrey Nyange ‘Kaburu’ aliyejiuzulu mapema mwaka huu, ambaye sasa ni Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF).
Pamoja na kumsimamisha Rage, Kamati ya Utendaji pia imewasimamisha makocha wa kikosi cha kwanza, Alhaj Abdallah Athumani Seif ‘King Kibaden’ na Msaidizi wake, Jamhuri Mussa Kihwelo ‘Julio’.  
Kamati imeamua kwa sasa timu itakuwa chini ya kocha wa timu ya vijana, Simba B, Suleiman Abdallah Matola ‘Veron’ ambaye atakuwa pia Msaidizi wa kocha Mkuu mpya wa kigeni, atakayetambulishwa Desemba 1, mwaka huu.
 
Kwa hisani ya Bin zubeiry blog

Article 15

$
0
0
YAICHAKAZA 4-2 LUPONDE FC.
 Hiki ni Kikosi cha Timu ya Njombe Ambayo Leo Katika Dimba la Sabasaba  Mjini Njombe Kimeichakaza Timu ya Luponde FC
Baada ya Kupigwa Mfululizo na Vilabu Vya Chai Fc na Makambako United Hivi Karibuni Kikosi cha Njombe Mji leo Kimemalizia HASIRA Zake Kwa Kuitandika Luponde FC  Magori4-2 Leo Katika Dimba la Sabasaba Mjini  Njombe

Mechi Hiyo ya Round ya Kwanza Ligi ya Taifa Ngazi Ya Mkoa  Imepigwa Huku Mashabiki wakiwa na Tension Kubwa Katika Kuhakikisha Timu yao Inashinda na Kupanda na Kuwa Nafasi ya 2 Kwa Pointi 18 Toka nafasi ya Tatu Baada ya Kuchakazwa na Makambako United.

Katika Ligi Hiyo Chai Fc Bado Inashika Nafasi ya Kwanza Kwa Pointi 23 Baada ya Kumburuza Stendi Fc ya Njombe Gori Moja Bila Soka Lililopigwa Katika Dimba la
Itambo Chai Leo.

Nafasi ya Tatu Inashikwa na Makambako United Toka nafasi ya Pili Baada ya Kulazimisha Sare ya Bila Kufungana na Mbeya Road Leo.

Article 14

Viewing all 2276 articles
Browse latest View live