Quantcast
Channel: GABRIEL KILAMLYA
Browsing all 2276 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DC NJOMBE:MRADI WA KIJANI KIBICHI UWANUFAISHE WAKULIMA NJOMBE

 Baadhi ya Mali Mbichi Zilizosindikwa Zikifanyiwa Maonesho na Mgeni Rasmi Mkuu wa Wilaya ya Njombe Bi.Sarah DumbaNa Gabriel Kilamlya NjombeMkuu wa Wilaya ya Njombe Bi.Sarah Dumba Amewataka Wakulima na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MABASI YA KAMPUNI YA SUPER FEO SONGEA NJOMBE DAR YAFANYA SAFIRI CHINI YA...

         Na Gabriel Kilamlya Njombe Mgomo wa Madereva Kutosafirisha Abiria Tangu Jana Nchini Kote Umeisha Mchana wa Leo Baada ya Serikali Kukubali Kusaini Mkataba wa Kushughulikia Kero za Madereva Hao....

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

HALI YA FOLENI KATIKATI YA JIJI LA DAR

Kutokana na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha maeneo mbali mbali hapa jijini Dar, imepekea baadhi ya njia kufungwa kutokana na wingi wa maji kwenye baadhi ya madaraja, hali iliyopelekea kuwepo kwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MKUU AISHUKURU LIONS CLUB KWA MISAADA YAKE

WAZIRI MKUU Mizengo Pinda ameishukuru taasisi ya Kimataifa ya Lions Club kwa misaada ambayo imekuwa ikiitoa hapa nchini katika nyanja za afya, utunzaji mazingira na uokoaji wakati wa maafa.Akifungua...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ATHARI KUBWA YA MVUA ZILIZONYESHA DAR

Athari ya mvua hasa kwa miundo mbinu ni kubwa,pichani ni sehemu ya barabara ya mbezi chini ikiwa imekatika kufuatia mvua kubwa ilionyesha siku nzima ya jana.Uchafu mkubwa uliokuwa umeziba daraja la mto...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Tanesco toeni vibali kwa mafundi umeme wa REA - Simbachawene

  Waziri wa Nishati na Madini, George Simbachawene (kushoto) akitoa maelekezo kwa Afisa Uhusiano - Huduma kwa Wateja wa Shirika la  Umeme Nchini (Tanesco) mkoa wa Dodoma, Innocent Lupenza (kulia) mara...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BREAKING NYUZZZZZZZ......: Rais Nkurunzinza wa Burundi ''apinduliwa''

Ripoti kutoka Bujumbura, nchini Burundi zinasema kuwa kamanda mmoja wa kijeshi ametangaza kuwa hamtambui tena Pierre Nkurunziza kama rais wa Burundi.Meja Jenerali Godefroid Niyombareh amewaambia...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAKAZI LUDEWA KUTHAMINISHIWA MALI ZAO ILI KULIPWA FIDIA KUPISHA UCHIMBAJI MADINI

 Makaa ya Mawe Huko Ludewa Wanahabari Waliozuru katika Machimbo Hayo wa tatu kushoto ni mkuu wa wilaya ya Wanging'ombe Fredrick Mwakalebera Akiwa na Baadhi ya Viongozi wa Halmashauri ya Mji wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKAPA AWATAKA WAKANDARASI NCHINI KUFANYA KAZI KWA KUZINGATIA WELEDI.

Rais Mstaafu wa awamu ya tatu Mheshimiwa Benjamin Wiliam Mkapa wapili kutoka kushoto akiwa na Waziri wa Ujenzi Dkt. John Pombe Magufuli wa kwanza kushoto, Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Eng. Musa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MMOJA AFA KWA MAFURIKO TENA DAR

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limethibitisha kuwepo kwa mtu mmoja mwanaume aliyetambulika kwa jina la EXAVERY S/O MICHAEL, Miaka 19, Mkazi wa Kingugi Mbagala, aliefariki dunia baada ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais Kikwete aongoza Sherehe za Kilele Cha wiki ya Elimu

 Waziri wa Elimu na mafunzo ya ufundi Dkt.Shukuru Kawambwa akimkaribisha Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete katika uwanja wa michezo wa Jamhuri mjini Dodoma  kuongoza sherehe za kilele cha wiki ya Elimu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NYALANDU: ALIA NA NASARI

Na Mwandishi wetuWAZIRI wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, amesema kauli zilizotolewa Bungeni na Mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nassari, ni za kutapatapa na zimejaa ukosefu wa busara na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TUME YA MIPANGO YATEMBELEA EPZA

Meneja wa Utekelezaji na Maendeleo wa Mamlaka ya Ukanda Maalumu wa Uwekezaji nchini (EPZA), Mhandisi Keneth Haule (Kulia) akiukaribisha ugeni kutoka Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango walipokwenda kujionea...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

ALATANGA NYAGAWA NJOMBE ASIFIWA KWA KUTOA KITABU KISICHO NA MRENGO WA KISIASA

Mwanasiasa Nguli kutoka Mkoani Njombe Alatanga Nyagawa[Lutondwe]ambaye amepitia misukosuko ya kutosha hadi sasa atoa kitabu chake.Mwanasiasa Huyu Ambaye Amepitia Vyama Mbalimbali na Sasa CHADEMA Katika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKAMU WA RAIS WA UTPC ATAKA MSHIKAMANO KWA WANAHABARI MKOA WA NJOMBE

Kulia ni sunday Bavuga Aliyekuwa Mtunza Hazina wa NPC na Msaidizi Wake Gabriel Kilamlya Wakijihuzulu baada ya Muda wao Kuisha Katibu wa chama cha waandishi wa habari Mkoa wa Njombe Hamis Kassapa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

UCHAGUZI MKUU WA CHAMA CHA WAANDISHI WA HABARI MKOA WA NJOMBE UNAFANYIKA SASA

 Mkurugenzi wa Umoja wa vilabu vya waandishi wa habari Tanzania (UTPC) Abubakar Karsan akizungumza kwenye mkutano huo.Makamu wa rais wa umoja wa vilabu vya waandishi wa habari Tanzania Jane Mihanji...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NJOMBE HALI TETE,MABOMU YAPIGWA KILA KWENYE MKUSANYIKO

.Sababu ni kile kinachodaiwa askari polisi kumuuwa kwa risasi mwananchi wa mtaa wa kambalage na kumjeruhi mwingine kijana Basil Ngole Anayedaiwa kuuawa na polisi jana usiku majira ya Tatu Huko...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RC NJOMBE AFUNGUA JENGO LA CHEKECHEA MTAA WA JOSHONI LILILOJENGWA NA WANANCHI...

 DIWANI WA KATA YA MJIMWEMA JIMMY NGUMBUKE WA UPANDE WA KULIA WANANCHI JOSHON WSAKISIKILIZA HOTUBA YA MGENI RASMINa Michael Ngilangwa NjombeMkuu Wa Mkoa Wa Njombe Dkt Rehema Nchimbi Amezindua Jengo La...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAADHIMISHO YA WIKI YA UKOMBOZI WA BARA LA AFRIKA MEI 25 HADI 29 MWAKA HUU.

Na Lorietha Laurence-MaelezoSerikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kwa Kushirikiana na Shirika la Kimataifa linaloshughulikia Elimu,Sayansi na Utamaduni (UNESCO) itaadhimisha wiki ya Ukombozi wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NEWS ALERT:MABOMU YALINDIMA NJOMBE LEO

kilichojiri asubuhi ya Leo katika Hospitali ya Mkoa wa Njombe Kibena.Fuatilia Chini Hapo Matukio zaidi ya Milindimo ya Mabomu

View Article
Browsing all 2276 articles
Browse latest View live