Quantcast
Channel: GABRIEL KILAMLYA
Viewing all articles
Browse latest Browse all 2276

UCHAGUZI MKUU WA CHAMA CHA WAANDISHI WA HABARI MKOA WA NJOMBE UNAFANYIKA SASA

$
0
0


 Mkurugenzi wa Umoja wa vilabu vya waandishi wa habari Tanzania (UTPC) Abubakar Karsan akizungumza kwenye mkutano huo.
Makamu wa rais wa umoja wa vilabu vya waandishi wa habari Tanzania Jane Mihanji ambaye pia ni msimamizi wa Uchaguzi, akitoa maelezo ukumbini.

 Baadhi ya waandishi wa habari kutoka Njombe Press Club wakifuatilia yanayoendelea.

Chama cha waandishi wa habari mkoa wa Njombe, hii leo kitafanya uchaguzi mkuu wa viongozi wake katika ukumbi wa Dosmeza mkoani Njombe.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 2276