.Sababu ni kile kinachodaiwa askari polisi kumuuwa kwa risasi mwananchi wa mtaa wa kambalage na kumjeruhi mwingine![]()
![]()


kijana Basil Ngole Anayedaiwa kuuawa na polisi jana usiku majira ya Tatu Huko Kambalage Njombe

Kijana Fredy Ambaye Alijeruhiwa Akiwa Hospittal ya Mkoa wa Njombe Huko Kibena Asubuhi ya Leo


Mapemba Leo Asubuhi Wananchi Hao Wameandamana Kutoka Kambalage Hadi Hospitali ya Mkoa Huko Kibena Kumjulia Hali Majeruhi Kijana Fredy Ambako Mabomu Yalianzia Majira ya Nne Asubuhi Baada ya Wananchi Kufunga Barabara Kwa Mawe Kutokana na Kucheleweshwa majibu ya kauli ya Jeshi la Polisi Juu ya Mauaji Hayo.
Taarifa Zaidi Endelea kufuatilia Mtandao Huu.