Quantcast
Channel: GABRIEL KILAMLYA
Browsing all 2276 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

GURUDOZA LAINGILIA KATI USAFI NJOMBE

Ni Moja ya Kizimba kilichopo mjini Njombe ambacho kinaondolewa taka ngumu baada ya kushamili kwa taka hizo

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAKAZI NJOMBE KUNUFAIKA NA MSAADA WA KISHERIA SASA BURE

 Safu ya Viongozi wa Juu katika kituo cha msaada wa kisheria  wilayani  NjombeKushoto ni  Katibu wa Kituo Hicho Bi.Sarah Kaliyenda Baadhi ya Vyombo ambavyo vimeweza kurejeshwa baada ya kunyang'anywa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

NEWS ALERT: WASHABIKI WA TIMU YA SIMBA WAPATA AJALI MKOANI MOROGORO LEO, NANE...

Ajali mbaya imetokea leo maeneo ya Makunganya, Barabara kuu ya kutoka Morogoro kwenye Dodoma baada ya gari iliyokuwa imewabeba washabiki wa Timu ya Simba Sports Club kupoteza muelekea na kuingia...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Garissa:Wanafunzi kuondoa vitu vyao

Chuo kikuu cha Garissa nchini Kenya Wanafunzi katika chuo kikuu cha Garissa nchini Kenya wanatarajiwa kupelekwa chuoni humo ili kundoa vitu vyao kabla ya kupelekwa nyumbani.Serikali ya Kenya imefunga...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MATUMIZI YA TEHEMA KUZIDI KUDHIBITIWA

 Wizara ya Sayansi,Teknolojia na Mawasiliano imesema itaendelea kudhibiti matumizi ya mtandao katika kuhakikisha hayatumiki vibaya kwa watumiaji.Hayo ameyasema leo Katibu Mkuu wa Wizara ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 2

WATU kumi  wanadaiwa Kufariki papo hapo na zaidi ya 12 kujeruhiwa baada ya gari la abiria aina ya Toyota Hiace kuligonga kwa nyuma lori la mizigo lililokuwa limeharibika barabarani bila kuonyesha...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MVUA YASHINDWA KUZUAI ZOEZI LA BVR KATA ZA NJOMBE MJINI NA RAMADHANI

Wananchi wamiminika kwenye vituo vya BVR Licha ya Kuwepo Kwa Mvua Kubwa Tangu Asubuhi Kata za Njombe Mjini na Ramadhani Ambako Zoezi Limeanza Rasmi Leo ni katika kituo cha shule ya msingi mpechi ndani...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WATU ZAIDI YA 10 WADAIWA KUPOTEZA MAISHA KATIKA AJALI YA MABASI MAWILI...

 Basi la Ngorika likiwa halitamaniki baada ya kugongana uso kwa uso la basi lingine la Kampuni ya RATCO katika ajali iliyotokea mapema leo kwenye eneo la Kijiji cha Mbweni, Mkata mkoani Tanga. kwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

ZANZIBAR INAHITAJI KUENDELEA KUWA SALAMA NA TULIVU-BALOZI SEIF ALI IDDI

 Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi Kati Kati akishindikizwa na Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mh. Said Mohd Dimwa Kulia yake mara baada ya kuhudhuria Mkutano wa pamoja  kati ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KUELEKEA SIKU YA HEDHI DUNIANI, MTANDAO WA HEDHI SALAMA WAENDESHA SEMINA...

 Kutoka kushoto ni Mkurugenzi mtendaji wa Kasole Secrets Hyasintha Ntuyeko ambao pia ni watengenezaji wa Pads za Glory, Katikati ni Mlezi wa wanafunzi Hilda Minja na Sara Mugele ambaye ni Dean of...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UJENZI WA BARABARA YA DODOMA (MAYAMAYA) HADI BABATI (BONGA) KM 188.15...

Mafundi wakiendelea na kazi za ujenzi wa daraja kubwa la Kolo lenye urefu wa mita 60 katika barabara ya Dodoma-Babati sehemu ya kipande cha barabara ya kutoka Mela kwenda Bonga chenye urefu wa km 88.8....

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

IGP MANGU AKUTANA NA MASHEIKH JIJINI DAR LEO

 Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Ernest Mangu akiongozanana viongozi wa dini ya kiislamu (kulia) Mwakilishi wa Mufti wa Tanzania katikaMafunzo hayo Sheikh Abubakar Zuber na kushoto ni Mwenyekiti wa...

View Article

RUFAA YA NDUMBARO KESHO

Kamati ya Rufaa ya Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini TFF iliyokutana Aprili 19, 2015 imepanga kusikilizwa kwa rufaa ya Damas Ndumbaro Mei 10 mwaka huu, makubaliano ambayo yalifikiwa na pande zote...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SHERIA ZICHUKULIWE KWA WAUZAJI WA PETROLI KWENYE CHUPA,VIDUMU NA PIPA NJOMBE

 Wilfred Edwin   Afisa Mawasiliano EWURA Meneja wa Ufundi wa Petroli Kutoka EWURA Mhandisi Gerlad Maganga  Baadhi ya Wanahabari wa Vyomba Mbalimbali vya Habari Kutoka Mkoa wa NjombeWashiriki wa Mafunzo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JIFUNZE UANDISHI WA HABARI HAPA

DEPARTMENT OF JOURNALISM AND MASS COMMUNICATION                                NEWS WRITING AND REPORTING NOTESJournalismJournalism is gathering, processing, and dissemination of news and information...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

APRIL 27,2015 UZINDUZI WA TUZO YA ELIMU YA MKUU WA MKOA WA NJOMBE

Mkuu wa Mkoa wa Njombe Dokta Rehema Nchimbi Akizungumza na www.gabrielkilamlya.blogspot.com juu ya uzinduzi wa tuzo ya ELIMU YA MKUU WA MKOA WA NJOMBE.

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KATA TATU H/SHAURI WILAYA YA NJOMBE ZABWETEKA KATIKA KAMPENI YA USAFI NA...

 Afisa Afya Katika Halmashauri ya Wilaya ya Njombe Bwana Remigus Sungu Akitoa Taarifa ya Hali ya  Kampeni ya Usafi Katika Halmashauri Hiyo. Wa Pili Kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Njombe Bi.Sarah Dumba...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Maandalizi ya sherehe za miaka 51 ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar...

Mkuu wa Wilaya ya Temeke Bi. Sophia Mjema akizungumza na waandishi wa Habari leo jijini Dar es salaam. Maadhimisho ya mwaka huu yatapambwa na Kauli Mbiu isemayo Miaka 51 ya Muungano, Tudumishe Amani Na...

View Article

Dhana 5 potofu kuhusu Muungano wa Tanganyika na Zanzibar

 Serikali tatu ni neema ya vyeo kwa wanasiasa I. KATIKA mfumo wa serikali tatu,  gharama zitakuwa zaidi ya trilioni tatu zinazosemwa na Jaji Joseph Warioba, kwa kuwa hatutaweza kukwepa gharama mpya za...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UPLANDS FM RADIO YA NJOMBE YAZINDUA MASAFA MAPYA YA 89.1 TOKA YA AWALI 88.9...

Hawa ni baadhi tu ya Wafanyakazi wa kituo cha radio Uplands fm wakiwa mitaani kwa wananchi kuuza masafa Yao Mapya.

View Article
Browsing all 2276 articles
Browse latest View live