Wilfred Edwin Afisa Mawasiliano EWURA
Meneja wa Ufundi wa Petroli Kutoka EWURA Mhandisi Gerlad Maganga
Baadhi ya Wanahabari wa Vyomba Mbalimbali vya Habari Kutoka Mkoa wa Njombe
Washiriki wa Mafunzo Hayo Katika Hotel ya FM Iliyopo Njombe
Wa mwanzo ni Mmiliki wa Mtandao huu Bwana Gabriel Kilamlya Akiwa na timu ya Wanahabari katika mkoa wa Njombe Katika Mafunzo ya Wamiliki wa Vituo Vya Mafuta Njombe Chini ya EWURA
Na Gabriel Kilamlya Njombe
Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Maji EWURA Imewataka Wafanyabiashara wa Bidhaa ya Mafuta Aina ya Petroli Hususani Wanaouzia Katika Mazingira Hatarishi Ikiwemo Kuuza Kwa Kuyaweka Kwenye Vidumu ni Kukiuka Sheria na ni Hatari Kwa Usalama Wao.
Kauli Hiyo Imetolewa na Meneja wa Ufundi wa Petroli Kutoka EWURA Mhandisi Gerlad Maganga Wakati Akitoa Mafunzo Kwa Wafanyabiashara wa Bidhaa za Mafuta ya Petroli Mkoani Njombe.
Mhandisi Maganga Amesema Kwa Mujibu wa Sheria ya Petroli ya Mwaka 2008 Inawataka Wafanyabiashara Wote Kuwa Leseni za Kufanyia Biashara ya Mafuta Ambapo Leseni Hizo Haimruhusu Mfanyabiashara Kuuzia Mafuta ya Petroli Kwenye Pipa,Dumu Wala Chupa Kwani ni Hatari kwa Usalama wa Watu,Mali na Mazingira Pindi Mafuta Yanapolipuka.
Wilfred Edwin ni Afisa Mawasiliano EWURA Ambaye Amesema Kuwa Licha ya Kuwepo na Jumla ya Vituo Vya Mafuta 1300 Nchini Kote Lakini Hadi Sasa ni Vituo 951 Pekee Vilivyopata Leseni Kutokana na Mazingira Yanayotakiwa Kufanyia Biashara Hiyo Kuto Kuwa Rafiki Kwenye Baadhi ya Vituo.
Ameongeza kuwa katika miundombinu ya kujazia gesi ya
kupikia na vituo vyote vya kuuzia gesi hiyo ni lazima viwe na mizani inayoweza kupima uzito wa mitungi ya gesi na Kuhakikiwa Pamoja na kuwekwa lakiri ya wakala wa vipimo Tanzania(WMA) na kwamba kukosekana kwa mizani hiyo adhabu Yake ni kunyang’anywa leseni au faini ya shilingi milioni tatu au tano.
Wakizungumza Katika Kikao Hicho Baadhi ya Wamiliki na Wawakilishi wa Vituo Vya Mafuta Mkoani Njombe Wamelalamikia Kitendo Cha EWURA Kuwapa Masharti Magumu Katika Uendeshaji wa Biashara Hiyo Pasipo Kuweka Vyombo Vya Maamuzi Pindi Wanapotaka Kulalamika Wanapokosewa.