

 ni katika kituo cha shule ya msingi mpechi ndani ya kata ya Njombe Mjini Leo Asubuhi
Na Gabriel Kilamlya Njombe
Licha ya Kuwepo Kwa Mvua Kubwa Tangua Majira ya Asubuhi Mapema Leo Mjini Njombe Mamia ya Wananchi Wameendelea Kujitokeza Kwenye Vituo Vya Kujiandikishia Daftari la Kudumu la Mpiga Kura Baada ya Kusubiri Kwa Hamu na Kwa Muda Mrefu.
Zoezi Hilo Limeingia Rasmi Katika Kata Mbili za Mwisho za Njombe Mjini na Ramadhani Ndani ya Halmashauri ya Mji wa Njombe Ambazo Zitahitimisha Zoezi Hilo Katika Mkoa wa Njombe.