Quantcast
Channel: GABRIEL KILAMLYA
Browsing all 2276 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

EDWARD LOWASA ATINGA NJOMBE KIMYA KIMYA BAADA YA KUZUIWA KWENDA RUKWA[CHADEMA...

 Baadhi ya Wanachama wa CHADEMA Mjini Njombe Wakiweka Ishara ya Kujenga UKUTA Mkuu wa Idara ya Uenezi CHADEMA Bwana Hemed Ally azungumza na Vyombo Vya Habari Baada ya Kikao Cha Ndani Njombe  Edward...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SEPTEMBA 1,2016 KUNATARAJIWA KUTOKEA KWA KUPATWA KWA JUA

KWA MKOA WA NJOMBE TUKIO LITATOKEA KATIKA KIJIJI CHA LITUNDU WILAYANI WANGING'OMBEKupatwa kwa jua tar. 29 Machi 2006Kupita kwa kivuli cha mwezi duniani wakati wa kupatwa kwa jua. Watu katike eneo kubwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

NJOMBE KUINGIA KWENYE HISTORIA YA KUPATWA KWA JUA SEPTEMBA 1,HUKO WANGING'OMBE

Kupatwa kwa jua mwaka 2016 kwatarajiwa kutokea Septemba 1

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JWTZ Lawatoa Hofu Wananchi.......Lasema Septemba 1 Litasherehekea Miaka 52...

Jeshi la Ulinzi la Wananchi Tanzania (JWTZ) leo linaanza shamrashamra za maandalizi kuelekea siku ya maadhimisho ya 52 ya majeshi inayotarajiwa kufanyika Septemba Mosi mwaka huu kwa kufanya usafi na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Waziri Mkuu: Tanzania Iko Tayari Kujifunza Kutoka Nchi Nyingine.

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Tanzania iko tayari kujifunza kutoka kwa nchi nyingine ambazo ni wanachama wa Mpango wa Kujitathmni Kiutawala Bora barani Afrika (APRM) ili iweze kuboresha hatua...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RC NJOMBE:UKUTA UNALENGO LA KUHARIBU KUPATWA KWA JUA KWA WAKAZI WA KUSINI

Mkuu wa Mkoa wa Njombe Dokta Rehema Nchimbi Akizungumza na Vyombo Vya Habari Agosti 26,2016Baadhi ya Wanahabari wa Mkoa wa Njombe Wakimsikiliza Mkuu wa Mkoa wa Njombe Dokta Rehema Nchimbi Akiwahutubia...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Polisi Mwingine Auawa Kwenye Mapambano Makali na Majambazi Huko Mkuranga

Ilikuwa ni kama filamu ya askari na maadui wakati askari wa Jeshi la Polisi walipopambana na watu wanaosadikiwa kuwa ni majambazi kwenye nyumba iliyo eneo la Vikindu wilayani Mkuranga.Taarifa ambazo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WASOMI MBALIMBALI WAELEZA MATUMAINI YA AMANI BAADA YA RAIS MAGUFULI NA LOWASA...

Rais Magufuli amesema anashukuru hafla ya Jubilei ya Miaka 50 ya ndoa ya Rais mstaafu Benjamin Mkapa kuleta muujiza wa kukutana na kupeana mkono na Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa Na Mwandishi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MBUNGE Godbless Lema Agoma Kula Kwa Saa 48,HALI YAKE YA KIAFYA YAWA MBAYA ZAIDI

Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema ( Chadema) anayeshikiliwa katika mahabusu ya kituo kikuu cha Arusha Mjini amegoma kula kwa zaidi ya saa 48 sasa tangu alipokamatwaLema alikamatwa juzi alfajiri...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Makusanyo Kodi za Simu Yapanda Maradufu

Sheria ya Fedha ya Mwaka 2016 iliyopitishwa kuhusu utozaji ushuru kwenye ada ya kutuma na kupokea fedha kwenye miamala ya benki na simu, imeanza kuzaa matunda kutokana na ongezeko la mapato lililoanza...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Ndege za Kivita Kutawala Anga la Dar Septemba 1

Septemba mosi mwaka huu inataraji kuingia katika histori ya Tanzania kutokana na matukio ambayo yanataraji kufanyika siku hiyo, matukio hayo ni pamoja na sherehe za miaka 52 ya Jeshi la Wananchi la...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Lowassa Aandika Waraka Mzito Kuhusu Oparesheni UKUTA.....Asimulia...

Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema, Edward Lowassa ameandika barua kuhusu operesheni ya chama chake iliyopewa jina la Ukuta na jinsi ambavyo jeshi la Polisi na Serikali lilivyopanga ‘kuubomoa’.Katika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BREAKING NEWZZZZZZZZZZZ........ CHADEMA WAAHIRISHA MAANDAMANO YA UKUTA KESHO

Mwenyekiti wa chama cha Demokrasia na Maendeleo,Freeman Mbowe  ametangaza kusitishwa kwa maandamano ya Oparesheni UKUTA yaliyokuwa yamepangwa kufanyika kesho nchi nzima hadi tarehe moja Octoba.Muungano...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais Magufuli atengua uteuzi wa Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 31 Agosti, 2016 amemteua Bw. Doto M. James kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango.Kabla ya uteuzi huo Bw. Doto M....

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Msajili amlima Barua Maalim Seif kuhusu sakata la Lipumba

Ofisi ya Msajili wa Vyama vya siasa nchini imemuandikia barua Katibu Mkuu wa Chama Cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad kufuatia mvutano wa kusimamishwa uanachama aliyekuwa Mwenyekiti wa chama...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kamati ya Bunge yaibana Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi

Wabunge wameibana Bodi ya Mikopo kwa Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HELSB) kwa kuongeza posho na kufikia jumla ya Sh1 bilioni katika kipindi kifupi kiasi ambacho hakilingani na kazi wanayoifanya. Kwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WANGING'OMBE NJOMBE WASHUHUDIA KUPATWA KWA JUA LEO

Ni muonekana wa Umbo la Mwezi lakini Kumbe ni Jua likiwa Limepatwa Hii Leo.Na Michael Ngilangwa WANGING’OMBEMamia ya Watanzania na Mataifa ya nje ya Nchi    Jana wamejitokeza kwa wingi kushuhudia tukio...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Serikali Yakanusha Taarifa Inayosambazwa Katika Mitandao ya Kijamii Kwamba...

Ofisi ya Makamu wa Rais inakanusha taarifa inayosambazwa kwenye mitandao ya kijamii kwamba Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan, ameomba kujiuzulu nafasi yake na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Polisi Washuhudia Majambazi Yakitwangana Risasi.......Zakamatwa Shehena za...

WATU watatu wanaosadikiwa kuwa ni majambazi wa kutumia silaha, ambao wamehusika kufanya matukio mbalimbali ya kihalifu katika mkoa wa Dar es Salaam, wameuawa na majambazi wenzao katika eneo la Vikindu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Serikali Yakusudia Kuwapeleka Watoto Wa Mitaani Katika Mafunzo Ya JKT Ili...

Na Ismail Ngayonga - Maelezo.SERIKALI inakusudia kuwapeleka katika kambi za mafunzo  ya Jeshi la Kuujenga Taifa (JKT) watoto wa mitaani wenye umri wa zaidi ya miaka 18 ili wajifunze  stadi za kazi na...

View Article
Browsing all 2276 articles
Browse latest View live