Quantcast
Channel: GABRIEL KILAMLYA
Viewing all articles
Browse latest Browse all 2276

HALMASHAURI YA MJI WA NJOMBE YASHIKA NAFASI YA KWANZA KITAIFA KWA USAFI WA MAZINGIRA 2014

$
0
0
 Kaimu Mkurugenzi Halmashauri ya Mji wa Njombe Bwana Venance Msungu Akizungumza na Mtandao huu Ofisini Kwake Juu ya Hali ya Mazingira Mjini Njombe



 Haya ni Majani Ambayo Hajakatwa Kwa Kipindi Kirefu Yaliyopo Kwenye Eneo la Wazi yaani OPEN PLACE Ambavyo ni Viwanja vya Halmashauri ya Mji wa Njombe
Na Gabriel Kilamlya Njombe

Halmashauri ya Mji wa Njombe Imeshika Nafasi ya Kwanza Kitaifa Kwa Usafi wa Afya na mazingira Licha ya Kuwepo Kwa Changamoto ya Uondoaji Taka Kwenye Baadhi ya Vizimba Mjini Hapa.


Viewing all articles
Browse latest Browse all 2276

Trending Articles