GARI LA RC IRINGA YAGONGWA ,MWENYEWE ANUSURIKAImage may be NSFW. Clik here to view.
Mkuu wa Mkoa wa Iringa Dokta Christine Ishengoma Anusurika kwenye Ajari Mkoani Iringa.
Image may be NSFW. Clik here to view.
MKUU WA MKOA WA IRINGA MHE DKT. CHRISTINE ISHENGOMA (MB.ANUSURIKA AJALI BAADA YA GARI LAKE KUGONGWA NA DALADALA YENYE NAMBA ZA USAJILI T 163 CBE. PAMOJA NAE ALIKUWA NA KAIMU KATIBU WAKE DENNIS GONDWE NA DEREVA WAKEHAMID UGULUMU,katika hajali hiyo hakuna madhara yoyote kwa binadamu