Halmashauri ya Mji Njombe kwa Kushirikiana na Wananchi wameanza Kujenga Daraja lililoleta Mvutano Mkubwa.
Kukosekana kwa Bajeti Halmashauri Kumepelekea Kujenga Daraja Hilo kwa Magogo Ujenzi unaopingwa na Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mji Njombe.
Wananchi wa Mitaa ya Kihesa na National Housingi Wameamua Kufanya Ukarabati wa Daraja Linaloiunganisha Mitaa Hiyo na Mji wa Njombe.
Wananchi Hao Wamefikia Hatua Hiyo Kufuatia Daraja Hilo Kuwa Bovu na Kuhatarisha Maisha ya Wakazi wa Mitaa Hiyo Wanaotumia Daraja Hilo Licha ya Uongozi wa Halmashauri ya Mji wa Njombe Kuahidi Kulijenga Bila Mafanikio.
Akizungumza na Kituo Hiki Mwenyekiti wa Mtaa wa Kihesa Bi. Mary Mng'ong'o Amesema Daraja Hilo ni la Muda Wakati Taratibu za Ujenzi wa Daraja la Kudumu Zikiendelea na
Pindi Fedha Kwa Ajili ya Ujenzi Huo Zitakapopatikana.
Kwa Upande Wake Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mji wa Njombe Edwin Mwanzinga Amewataka Wananchi Kushiriki Kaika Shughuli za Maendeleo Ikiwemo Ujenzi wa Madaraja na Si Kutegemea Msaada Kutoka Serikalini.
Ukarabati wa Daraja Hilo Umekuja Ikiwa ni Siku Chache Tangu Halmashauri ya Mji wa Njombe Kuahidi Kuwa Ifikapo Agosi 21 Mwaka Huu Litakuwa Limejengwa Ahadi Ambayo Haikuweza Kukamilika.