KESI YA WIZI WA KUTUMIA SILAHA YAENDELEA KUSIKILIZWA NJOMBE.
![]()
Na Gabriel Kilamlya Njombe
Mahakama ya Wilaya ya Njombe Hii Leo Imeendelea Kusikiliza Kesi ya Wizi wa Kutumia Silaha Inayowakabili Stanley Kaduma Mwenye Umri wa Miaka 30 na Shem Mgiliche Mwenye Umri wa Miaka 35 Wote Wakazi wa Ilunda Mkaoni Njombe.
Akisoma Hati ya Mashtaka Mbele ya Hakimu wa Mahakama Hiyo Augustino Rwezile ,Mwendesha Mashtaka Atupakisye Mwakasitu Ameiambia Mahakama Kuwa Washtakiwa Walitenda Kosa Hilo Oktoba Tatu Mwaka 201o Katika Kituo cha Kituo cha Kulelea Watoto Yatima Kilichopo Ilunda Mkoani Njombe .
Imedaiwa Mahakamani Hapo na Mwendesha Mashtaka Mwakasitu Kuwa Washitakiwa Wakiwa na Bunduki Aina ya Shotgun Pomoja na Mapanga Walivamia Kituo cha Kulelea WatotoYatima na Kuiba Fedha Taslimu Shilingi Milioni Tisa Laki Tisa na
35 Elfu.
Washtakiwa Walipohojiwa Kutenda Kosa Hilo , Wamekana Kutenda Kosa Hilo Mbele ya Mahakama .
Hakimu wa Mahakama Hiyo Augustino Rwezile Ameahirisha Kesi Hiyo Hadi Septemba 18 Mwaka Huu Itakapo Sikilizwa Tena Huku Akiuagiza Upande wa Mashtaka Kuleta Mashahidi na Washtakiwa Wamerudishwa Lumande.
Kwa Mara ya Kwanza Washtakiwa Hao Walifikishwa Katika Mahakama Hiyo Oktoba 27 Mwaka 2012 na Kusomewa Hati ya Mashtaka