Quantcast
Viewing all articles
Browse latest Browse all 2276

GARI LA RPC NJOMBE NA BODIGADI WAKE ALIYEFARIKI KWA AJALI USIKU WA KUAMKIA LEO

 Gari la Kamanda wa Polisi Mkoa wa Njombe Linavyoonekana Mara Baada ya Kupata Ajali Usiku wa Kuamkia Leo Eneo la Kibena TANWATT Mkoani Njombe na Kusababisha Kifo cha Bodigadi wa RPC Njombe Anayeonekana Hapo Chini.
Huyu ni Aliyekuwa Boardgurd wa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Njombe Aliyefia Eneo la Tanwatt Kibena Usiku wa Kuamkia Leo Katika Ajali ya Gari la Kamanda wa Polisi Ambaye Amenusurika Katika AJali hiyo na Dereva Wake.

Askari Huyo Alifahamika Kwa Jina la George Stephano Matiko Amefariki Katika Ajali Hiyo Papo Hapo.

MUNGU Ailaze Roho ya Kijana Huyu Mahali Pema Peponi Ameen.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 2276

Trending Articles