Quantcast
Channel: GABRIEL KILAMLYA
Viewing all articles
Browse latest Browse all 2276

BREAKING NEWSSSSSSSSSS

$
0
0
Muonekana wa Gari la Kamanda wa Polisi Mkoa wa Njombe BAADA YA aJALI uSIKU hUKO tANWATT kIBENA  Njombe
 
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Njombe SACP Fulgency Ngonyani

Na Ellymathew  Kika Njombe

Askari Polisi Aliyefahamika Kwa Jina Moja la George Amefariki Katika Ajali Iliyotokea Jana Usiku Majira ya Saa Tano Huku Kamanda wa Polisi Mkoa wa Njombe SACP Fulgency  Ngonyani Pamoja na Dereva Wake Nwaka Seme Wamejeruhiwa.

Akizungumza na mtandao huuKatika Hospitali ya Mkoa wa Njombe Muuguzi wa Zamu Bi.Neda Chelesi Amesema Kuwa Ajali Hiyo Imetokea Maeneo ya TANWATT Karibu na Jengo la TANSEED Kibena Usiku wa Kuamkia Agosti 9 Mwaka Huu na Kwamba Katika Ajali Hiyo Amepokea Majeruhi Wawili na Maiti Moja

Kwa Mujibu wa Muuuzi Huyo Amesema Chanzo Cha Ajali Hiyo Bado Hakijafahamika,Hivyo Mtandao huu Utaendelea kuwajulisha juu ya tukio Hilo.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 2276

Trending Articles