$ 0 0 .Lengo ni kutaka Kuunda Kamati ya MaadiliKushoto ni Katibu wa Chama Cha Waandishi wa Habari Mkoa wa Njombe Hamis Kasapa Katikati ni Allan Lawa Meneja Maadili Baraza la Habari TanzaniaMmiliki wa mtandao huu Bwana Gabriel Kilamlya Ambaye ni Mtunza Hazina Msaidizi Kwenye Chama cha Waandishi wa Habari Mkoa wa Njombe Kushoto AkiandikaWanahabari na Viongozi wa Kamati Tendaji Chama Cha Waandishi wa Habari Mkoa wa Njombe Wakiwa Kwenye Semina ya Siku Moja Toka Baraza la Habari Tanzania MCT Mjini Njombe