RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MHE. DKT. JOHN POMBE MAGUFULI...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akimwapisha Dkt. Rehema Nchimbi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Ikulu jijini Dar es salaam. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
View ArticleRC MKOA WA DAR ES SALAAM, PAUL MAKONDA APOKELEWA OFISINI KWAKE NA KUZUNGUMZA...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda akishukua kutoka kwenye gari lake la Ukuu wa Mkoa wakati alipokuwa akifika kwa mara ya kwanza ofisini kwake Dar es Salaam leo mchana. Katibu Tawala...
View ArticleRais Magufuli aweka jiwe la Msingi ujenzi wa Kinyerezi II
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Balozi wa Japan nchini Masaharu Yoshida , Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo, Mkurugenzi mkuu wa Tanesco...
View ArticleJWTZ LAKANUSHA KUPELEKWA WANAJESHI VISIWANI ZANZIBAR
JESHI LA ULINZI LA WANANCHI WA TANZANIAKURUGENZI YA HABARI NA UHUSIANOTaarifa kwa Vyombo vya HabariJeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) linapenda kutoa taarifa kwa Umma juu ya uvumi ulioenea...
View ArticleRAIS MHE. JOHN POMBE MAGUFULI AKAGUA NA KUWEKA JIWE LA MSINGI KATIKA UJENZI...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Balozi wa Japan nchini Masaharu Yoshida, Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo, Mwenyekiti wa Chama...
View ArticleDC WANGING'OMBE ATOA SIKU 7 KWA WAKUU WA SHULE KUHAKIKISHA WATOTO WANARIPOTI...
Mkuu wa Wilaya ya Wanging'ombe Dokta Asumpta Mshama wa pili kulia akizungumza kwenye kikao cha Wakuu wa shule za sekondari Baadhi ya Wakuu wa Shule za Sekondari na Wenyeviti wa Bodi Wakiwa na Mkuu wa...
View ArticleKAMATI YA BUNGE YA MAENDELEO YA JAMII YATEMBELEA MFUKO WA BIMA YA AFYA (NHIF)
Mbunge wa Busega na Kaimu Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Kudumu ya Maendeleo ya jamii Mh. Raphael Chegeni akisaini kitabu cha wageni mara baada ya wajumbe wa kamati hiyo kuwasili katika ofisi za...
View ArticleMWIGULU AONYA KUHUSU MAUAJI YA KISIASA
WAZIRI wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Bw. Mwigulu Nchemba amesema hakuna chama cha siasa ambacho kinaweza kuthaminishwa na maisha ya mwanadamu na kwamba wananchi hawana sababu ya kupigana na kutoanabugai...
View ArticleMKUU WA WILAYA YA NJOMBE SARAH DUMBA AFARIKI GHAFLA
Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Njombe, Bi. Sarah Dumba katika picha enzi za uhai wake..
View ArticleRais Mstaafu Dkt. Jakaya Kikwete awasili Tunisia kusuluhisha mgogoro wa Libya
Rais Mstaafu wa awamu ya nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete na Mwakilishi Maalum wa Umoja wa Afrika wa Usuluhishi wa Mgogoro wa Libya, amewasili jana Jijini Tunis nchini Tunisia kushiriki Mkutano wa 8 wa...
View ArticleTuhuma za Rushwa: Hussein Bashe Naye Ajiuzulu Ujumbe wa Kamati ya Bunge
Mbunge wa Nzega Mjini na Kiongozi wa chama cha CCM, ameishtumu Kamati ya Huduma za Jamii anayohudumu kuwa kuna baadhi ya Wajumbe wammepokea rushwa.Kutokana na shtuma hizo ameamua kuungana na Zitto...
View ArticleUKAWA Washinda Umeya wa jiji la Dar es Salaam....Wamepata Kura 84, CCM Kura 67
Hatimaye uchaguzi wa Meya wa jiji la Dar es Salaam umekamilika leo katika ukumbi wa Karimjee, na kushuhudia Isaya Mwita wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) akitangazwa kuwa mshindi wa...
View ArticleZitto baada ya kumwandikia Spika barua ya kujiuzulu
Gazeti la Mtanzania leo March 22 limeripoti kuhusu kamati za Bunge kutarajiwa kufanyiwa mabadiliko makubwa baada ya ripoti ya uchunguzi wa mwenendo wa wabunge kuwatuhumu baadhi yao kujihusisha na...
View ArticleMABADILIKO YA RATIBA SHUGHULI ZA KAMATI ZA BUNGE
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIABUNGE LA TANZANIATAARIFA KWA UMMAKufuatia mabadiliko ya tarehe ya kupokea Mapendekezo ya Mpango na kiwango cha Ukomo wa Bajeti ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2016/2017,...
View ArticleZaidi ya watu 150 wamejitokeza kuhakiki silaha zao.
Na. Immaculate Makilika –MAELEZO……………………………………..Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai, Kamishna wa Polisi Diwani Athumani amesema hadi kufikia sasa zaidi ya watu 150 wamejitokeza kuhakiki wa...
View ArticleJESHI LA POLISI MKOA WA NJOMBE LAJIPANGA SAWASAWA KUKABILIANA NA UHARIFU...
KAMANDA WA JESHI LA POLISI MKOA WA NJOMBE PLODENSiANA PLOTAS AKIZUNGUMZA NA WAANDISHI AKIWA OFISINI KWAKEJeshi La Polisi Mkoa Wa Njombe Limesema Limejipanga Kikamilifu Kudumisha Amani Na Utulivu Kwa...
View Article