Article 0
BARABARA YA LUPEMBE NJOMBE YANYONGA MMOJA.Mtu Mmoja Amefariki Dunia na Wengine Wawili Wamejeruhiwa Katika Ajali ya Barabarani Iliotokea Barabara ya Njombe -Lupembe Mkoani Njombe.Taarifa ya Kamanda wa...
View ArticleArticle 1
PONDA APIGWA MARUFUKU KUFANYA MIHADHARA ZANZIBER.Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imempiga marufuku Katibu wa Jumuiya ya taasisi ya Kiislamu shekhe Issa Ponda Issa kuendesha mihadhara ya kidini katika...
View ArticleASASI NJOMBE ZATAKIWA KUWAPA KIPAUMBELE WATOTO.
wadau wa mtoto mkoani njombe wakiseminika. Mratibu wa Mtandao wa Malezi,Makuzi na Maendeleo ya Mtoto Tanzania Bwana Arcard Rutajwaha Akitoa Semina ya Mtoto Mkoni Njombe Leo. Akizungumza wakati wa...
View ArticleArticle 4
SAA CHACHE ZIMESALIA KUKAMILISHA AMRI YA SERIKALI JUU YA WAHAMIAJI HARAMU. Zikiwa zimesalia saa 24 kabla ya kumalizika kwa muda uliotolewa na Rais Jakaya Kikwete kwa wahamiaji haramu kuondoka nchini...
View ArticleArticle 3
MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL KATIKA SWALA YA SIKUKUU YA IDDI KITAIFA MKOANI TABORA leo. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal (wa sita kutoka kulia), akishiriki na...
View ArticleArticle 2
WABUNGE NCHINI THAILAND WAZICHAPA LIVE BILA CHENGA Waweza sema ni utani lakini ni kweli yametukia nchini Thailand.Wabunge wa nchini humo wakiwa kwenye mkutanowa Bunge wa kupiga kura za maoni juu ya...
View ArticleArticle 1
JESHI LA POLISI LATANGAZA DAU LA MILIONI 10 KWA MTU YEYOTE ATAKAYEWATAJA WATU WALIOWAMWAGIA TINDIKALI WAZUNGU WAWILI. Zanzibar, Tanzania — Kamanda wa Polisi, Kamishna Musa Ali Musa amesema Serikali ya...
View ArticleMILIONEA WA MIRELANI ARUSHA ALIVYOMIMINIWA RISASI HADI KUFA.
Mwili wa Erasto Msuya (kulia) baada ya kupigwa risasi. Kushoto ni gari alilokuwa anatumia.Wanausalama wakiubeba mwili wa marehemu Msuya.Mwili wa Msuya ukiwa ndani ya difenda.Marehemu Erasto...
View ArticleArticle 0
MTANDAO WA MALEZI,MAKUZI NA MAENDELEO YA WATOTO MKOA WA NJOMBE WAPATA UONGOZI WA MUDA. Kushoto ni Mratibu wa Shirika la Children In Crossfire [cic] Bwana Amos Mkude Ambaye alitangaza Matokeo ya...
View ArticleWANAHABARI KATIKA MKOA WA NJOMBE WAKIPERUZI MAGAZETI ASUBUHI YA LEO STENDI...
Kulia ni Prosper Mfugale Kutoka UPLANDS FM RADIO na Festus Pangan Kutoka Best radio Fm Ludewa.Mwenye Kofia na Jinsi ni Mwandishi wa Habari Katika Gazeti la Mwananchi/Citizen na Daraja Letu Mkoa wa...
View ArticleRC NJOMBE KUZINDUA MFUKO WA AFYA CHF KESHO AGOSTI 12 MKOA WA NJOMBE.
Mkuu mkoa wa Njombe Captain Mstaafu Asseri Msangi Serikali Mkoani Njombe Inatarajia Kuzindua Kampeni ya Mfuko wa Afya ya Jamii CHF Agosti 12 Mwaka Huu Ikiwa ni Mipango ya Kurahisisha Huduma ya Afya...
View ArticleArticle 2
SHEIKH PONDA AKIWA HOSPITALINI BAADA YA KUPIGWA RISASI BEGANI. SHEIKH PONDA ISSA PONDA Sheikh Ponda leo akiwa HOSPITALINI akisubiri matibabu baada ya kupigwa Risasi huko Morogoro KISA CHA SHEIK PONDA...
View ArticleArticle 1
WANAFUNZI WA SHULE ZA MSINGI NJOMBE WAINGIZWA KWENYE SIASA.Waingizwa kufanya uchaguzi wa Umoja wa Vijana CCM. MWENYEKITI WA CCM WILAYA YA NJOMBE ADAMU MSIGWA AKIWA MGENI RASMI WANANFUNZI WA SHULE YA...
View ArticleArticle 0
RC NJOMBE ATETA NA WAFANYABIASHARA KUELEKEA UZINDUA RASMI wa MKOA WA NJOMBE MWEZI OKTOBA. Wafanyabiashara Mbalimbali wakiwa Kwenye Kikao na Mkuu wa Mkoa wa Njombe Leo Jioni. Hapa Mkuu wa Mkoa wa...
View ArticleArticle 0
WATU WAWILI WAFARIKI DUNIA MBEYA AKIWEMO DEREVA BODA BODA ALIYEUWAWA KINYAMA Na Esther Macha,wa matukio daima MbeyaWATU wawili wamefariki dunia katika matukio tofauti Mkoani Mbeya likiwemo la...
View ArticleArticle 3
UZINDUZI WA MFUKO WA CHF WAVUNA MILIONI TANO LEO NJOMBE. Dokta Joseph Muishely ni Mkurugenzi wa Utafiti Katika Mradi wa Tunajali Taifa Amesema Kuwa Changamoto Kubwa Katika Uhamasishaji Wananchi Juu ya...
View ArticleArticle 2
MTOTO ALIYEKUFA MAJI BWAWANI APATIKANA KILOLO. Mjumbe wa serikali ya mtaa wa Kihesa Kilolo Bw Luwago akitazama mwili wa mtoto Oben Sanga aliyekufa maji bwawa la Kihesa Kilolo Wananchi...
View ArticleArticle 1
BANGI ZAENDELEA KUKAMATWA NJOMBE.Kamanda wa Polisi Mkoa wa Njombe ACP Fulgency Ngonyani Amethibitisha Kutokea kwa Matukio Tofauti Mkoani hapo.Na Gabriel Kilamlya Njombe Licha ya Jitihada Kubwa za Jeshi...
View ArticleArticle 0
KUKOSEKANA KWA USHAHIDI KWAMUACHIA HURU MTUHUMIWA NJOMBE. Mahakama ya Wilaya ya Njombe Leo Imemuachia Huru Sarah Mapili Mkazi wa Matiganjola Wilayani Njombe Aliekuwa Akituhumiwa Kwa Kosa la Kuchoma...
View Article