TAMASHA LA UMOJA KWANZA la Uplands fm Radio Ya Njombe LANOGA MAKETE.




mara baada ya Kufanyika Kwa Tamasha Kama Hilo Wilayani Ludewa Hapo Mei 31 Mwaka Huu Hatimaye Uplands Radio Fm Ya Njombe Yafanya Tamasha Wilayani Makete Juni 7 Mwaka Huu Kwa Lengo la Kupambana na Maambukizi Ya Virusi Vya Ukimwi Pamoja na Kukuza Vipaji vya Wasanii wa Mkoa wa Njombe.
PICHA na Taarifa zaidi Zitaendelea kukujia