Quantcast
Channel: GABRIEL KILAMLYA
Viewing all articles
Browse latest Browse all 2276

Article 1

$
0
0

MBUNGE WA JIMBO LA KALENGA AHITIMISHA ZIARA YAKE YA SIKU MBILI JIMBONI.

Diwani wa kata ya Mgama Denis Lupala kulia akidua ya mbunge wa  jimbo la Kalenga Godfrey Mgimwa

Mbunge wa  jimbo la kalenga Godfrey Mgimwa katikati akidua na diwani wa kata ya Mgama Denis Lupala mara baada ya kuhitimisha ziara yake ya kuviwezesha vikundi vya VICOBA kiuchumi katika  kijiji cha Ihemi ziara  iliyoambatana na shukrani kwa  wapiga kura ni mbunge wa kwanza jimbo la Kalenga kurudi mapema kwa  wananchi kushukuru
Mbunge wa  jimbo la Kalenga Godfrey Mgimwa akimakabidhi mbuzi mwanahabari wa kituo cha Radio Country Fm Estha Magubike baada ya kumnunua mbuzi huyo katika mnada wa kuchangia uzinduzi wa VICOBA ,mbuzi huyo aliuzwa kwa Tsh 200,000  huku mwandishi huyo alishinda kwa kuchangia Tsh 25000
Mkazi wa Ihemi kulia akimpongeza mbunge Mgimwa baada ya kuahidi kuchangia kiasi cha Tsh 700,000 kwa ajili ya vikundi vipya vya Vikoba  Ihemi
Mbunge wa kalenga Bw Mgimwa akiwa katika picha ya pamoja na wanachama wa kikundi cha Tugele Vicoba Ihemi
Diwani wa kata ya Mgama Denis Lupala kulia akidua ya mbunge wa  jimbo la Kalenga Godfrey Mgimwa


Viewing all articles
Browse latest Browse all 2276

Trending Articles