Kwa mwaka 2013 Ilikuwa Hivi
TAMASHA LA UMOJA KWANZA LA UPLANDS FM NJOMBE JANA LATISHA MBAYA.
wanafunzi toka shule ya viziwa Njombe wakisafisha jukwaa siku ya tamasha la Umoja kwanza ![]()
.
WANAFUNZI WA SHULE YA SEKONDARI VIZIWI WAKIONESHA BURUDANI KWA KUCHEZA NGOMA
Ilikuwa ni mwezi Julai 6 mwaka 2013,sasa May 31,2014 Kufanyika Ludewa na Wilaya nyingine za Mkoa wa Njombe