
Mkutano huo umefunguliwa na Mkurugenzi Mkuu wa Uendeshaji wa Mashtaka (DPP) Dr E.Feleshi.Pamoja na mambo mengine mkutano huo utaangalia Haki za Watoto walio katika Mgongano na Sheria za Jinai.
Walio kaa Kwenye viti,wa kwanza kushoto ni Kamishna Jenerali wa Magereza (CGP) John C Minja, wa
pili kushoto ni Mkrugenzi wa Mashtaka (DPP) Dr. E.Feleshi,wa tatuni IGP Ernesti Mangu.
Mkutano huu unafanyika katika Hotel ya Millenium Sea Breeze Bagamoyo kwa siku mbili kuanzia tarehe 30 Mei, 2014.Na Mpiga Picha wa Magereza.