Image may be NSFW.
Clik here to view.
Leo asubuhi eneo la Mikese, Morogoro, Imetokea ajali mbaya sana ya magari mawili, moja la mafuta, kugongana uso kwa uso na kutumbukia mtaroni na yote kushika moto. Inasadikiwa mtu mmoja ambaye ni dereva wa magari hayo kateketea kabisa kwa moto. Picha na Mdau SixmundClik here to view.

Image may be NSFW.
Clik here to view.
Hakuna cha kufanyika kutokana na moto mkubwa na moshi mwingi wakati magari hayo yakiteketeaClik here to view.

Image may be NSFW.
Clik here to view.
Mlipuko mkubwa wakati matenki ya mafuta yakilipukaClik here to view.

Image may be NSFW.
Clik here to view.
Askari wa kikosi cha zimamoto wakijaribu kuuzima motoClik here to view.

huo
kwa hisani ya michuzi blog