KATIBU MKUU WA Wizara ya VIWANDA NA BIASHARA ULED MUSSA LEO AMEWATAKA MAOFISA BIASHARA KWENDA KWA WANANCHI NA SI KUBAKI MAOFISINI MKOANI NJOMBE
Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda na Biashara Uled Mussa Aliyekaa Pamoja na Mmiliki wa Mtandao Huu Ngugu Gabriel Kilamlya Aliyechutama Pembeni![]()
Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara Uled Mussa Amewataka Maofisa
wa Biashara Katika Halmashauri na Mikoa Mbalimbali Hapa Nchini
Kuwatembelea Wananchi na Wakulima Vijijini Badala ya Kutumia Muda Mwingi
Kukaa Maofisini.
Agizo Hilo Amelitoa Leo Wakati Akifanya Mazungumzo Maalumu Alipotembelea
Kituo Hiki na Kupata Ufafanuzi Juu ya Mradi wa Muunganisho wa Ujasiliamali
Vijijini MUVI Unaowahusisha Wakulima Mbalimbali wa Mazao ya Alizeti,Nyanya
na Matunda Mkoani Njombe.
Bwana Mussa Amesema Kuwa Amebaini Kuwepo Kwa Maofisa Wengi wa
Biashara Kushindwa Kuwafikia Wananchi na Wafanyabaishara Mbalimbaoli
Kwenye Maeneo Yao Hali Inayosababisha Kuibuka Kwa Malalamiko Mbalimbali
Toka Kwa Wafnyabaishara Hao.
Pamoja na Mambo Mengine Amemtaka Mkuu wa Mkoa wa Njombe Capteni
Mstaafu Asseri Msangi Kukaa na Wadau Mbalimbali Wa Kilimo Ili Kujadiliana
Jinsi ya Kupanga Mazao Maalumu ya Kuyapa Kipaumbele Katika Mkoa wa
Njombe Ili Kuyaunganisha Kwenye Mnyororo wa Thamani.
Mkoa wa Njombe ni Miongoni Mwa Mikoa Sita Inayotegemewa Kwa Uzalishaji
wa Mazao Ya Chakula Hapa Nchini Kutoka Kusini Mwa Tanzania Huku
Wakulima Wengi Hususani wa Mazao ya Biashara Vikiwemo Viazi Mviringo
Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara Uled Mussa Kushoto Akiteta Jambo na Meneja wa Kituo Cha Redio Uplands Fm Njombe Mara Baada ya Kufanya Mazungumzo Redioni Hapo. Leo
Msafara wa Katibu Mkuu Huyo Ukiondoka Katika Kituo Cha Redio Uplands Fm Njombe Majira ya Jioni ya Leo.