ZAIDI YA WANAFUNZI LAKI NANE KUHITIMU DARASA LA SABA 2013 NCHINI KOTE.
Paper ni Kesho na Keshokutwa.![]()
Zaidi ya Wanafunzi Laki Nane Nchini Kote Wanatarajia Kuhitimu Elimu ya Darasa la Saba Mwaka Huu.
Mtandao huu Unawatakia Kila la Kheri na MTIHANI MWEMA Kwa wanafunzi hao.