Quantcast
Channel: GABRIEL KILAMLYA
Viewing all articles
Browse latest Browse all 2276

Article 5

$
0
0

GARI LAPINDUKA UWEMBA NJOMBE .

 

 Wananchi  wa  Uwemba  wilaya ya Njombe wakishuhudia  ajali ya  gari 

 Mbunge  wa  jimbo la  Ludewa  Deo Filikunjombe  kulia  akishuhudia  ajali  ya gali lenye  namba T570BNP ambalo  lilipinduka  na  dereva  wake  mwenye koti  jekundi  akiwa amechomoka katika gari  hilo ambalo lilikuwa na abiria  mmoja ambae  pia amepona
 Abiria  wa  gari  hilo akiruka  katika  gari  hilo baada ya  ajali  kutokea

 Abiria  aliyekuwemo katika gari hilo akijiokoa  kwa  kuruka katika gari  mara  baada ya  kupinduka eneo la Uwemba  barabara  kuu ya Njombe - Ludewa
 
KWA Hisani ya Francis godwin

Viewing all articles
Browse latest Browse all 2276

Trending Articles