Kamanda wa Polisi Mkoa wa Njombe Acp Fulgency Ngonyan Akithibitisha Kutokea kwa Vifo Hivyo.
Jeshi la Polisi Mkoani Njombe Limethibitisha Kutokea kwa Vifo vya Watu Wanne Katika Matukio Matatu Tofauti Likiwemo la Ajali ya Gari Aina ya Mitsubishi Fuso Lililowagonga waendesha Pikipiki wawili na Kusababisha Vifo Papo Hapo.
Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoani Njombe ACP Fulgency Ngonyani Amesema Tukio la Kwanza Limetokea Agosti 19 Mwaka Huu Majira ya Saa Tatu na Dakika Kumi Usiku Katika Mtaa wa Melinze Mjini Njombe Ambapo Gari Lenye Namba za usajili T 862 AAD Mali ya Zakaria Mbilinyi ILiyokuwa Ikiendeshwa na Henry Ngimbudzi Mwenye Umri wa Miaka 35 Mkazi wa Makambako LilimgongaMwendesha Pikipiki Aina ya T Better Yenye Namba za Usajiri T. 420 BNW Iliyokuwa Ikiendeshwa na Michael Kiombo Mwenye Umri wa Miaka 21 na Mkazi wa Mji Mwema na Abiria Aliyefahamiki kwa Jina la Deogratias Mwenye Umri wa Miaka 20 Mkazi wa Mjimwema Ambao wote walifariki Dunia.
Aidha Kamanda Ngonyani Amesema Ajali Hiyo Pia Imesababisha Majeruhi kwa Watu Watano Ambao wamelazwa Katika Hospitali ya Kibena Huku Dereva Aliyesababisha Ajali Hiyo Akitokomea Kusiko Julikana na Chanzo cha Ajali Hiyo Kinaendelea Kuchunguzwa.
Kamanda Ngonyani Pia Amewataja Majeruhi Watano wa Ajali Hiyo waliokuwemo kwenye Gari Aina ya Toyota Mark ii Lenye Namba za Usajiri T.771 AWC Lililokuwa Likiendeshwa na Keneth Mng'ong'o Mwenye Umri wa Miaka 23 na Abiria Wengine Waliofahamika kwa Majina Sostenes Magembo Mwenye
Umri wa Mwaka 1 na Miezi 7 MKazi wa Kijiji cha Lwangu, Elasto Mayemba Mwenye Umri wa Miaka 30 Mkazi wa Gongo la Mboto DSM ,Henry Kiwale Mwenye Umri wa Miaka 41 Mkazi wa Njombe, Cresencia Kihindo Mwenye Umri wa Miaka 64 Mkazi wa Lwangu , Deus Mwinami,Richard Mwalongo Mwenye Umri wa Miaka 24 Mkazi wa Makambako na Samweli Mkombo mwenye Umri wa Miaka 30 Mkazi wa Luponde.
Katika Tukio Jingine Kamanda wa Polisi Amemtaja Danford Mkongwa Mwenye Umri wa Miaka 46 Mkazi wa Kijiji cha Malombwe Ambaye Alikutwa Amekufa Chumbani kwake Mara Baada ya Kukatwa katwa na Kitu chenye Ncha Kali baada ya Kuvamiwa na Watu Wasiofahamika na Kufariki Papo Hapo na Chanzo cha Mauaji Hayo Bado Hakijafahamika.
Aidha Kamanda wa Polisi Amesema Kuwa Katika Kijiji cha Lupanga Kata ya Lupanga Wilayani Ludewa Mkoani Njombe MtotoVaileth Sambala Mwenye Umri wa Miezi 7 Alikutwa Amefariki Dunia Mara Baada ya Kutumbukia Kwenye Ndoo ya Maji na Chanzo cha Tukio Hilo Bado Hakijafahamika.
Kutokana na Matukio Hayo Kamanda wa Polisi Amewaasa Madereva Kuendesha Vyombo vya Moto kwa Uangalifu na Kwa Kuzingatia Sheria za Usalama Barabarani Ili Kupunguza Ajali Hizo.