Image may be NSFW.
Clik here to view.

Clik here to view.

Image may be NSFW.
Clik here to view.
Clik here to view.

Kulia ni ClubMalibu ambaye ndiye mwenyeji na mdhamini wa Lady in Red itakayofanyika leo jijini London akiwa katika picha ya pamoja na mtangazaji mahiri wa idhaa ya Kiswahili BBC London Bwn. Salim Kikeke.Image may be NSFW.
Clik here to view.
Clik here to view.

Kutoka kushoto ni msanii wa Bongo Flava Rich Mavoko, Mgalula Fundikila, Salim Kikeke na mama wa mitindo Asya Idarous Khamsini walipokua mjengoni idhaa ya Kiswahili BBC London.
Image may be NSFW.
Clik here to view.
Clik here to view.

Mtangazaji wa idhaa ya Kiswahili BBC London Sakuma Kssim akiwa katika picha ya pamoja na nguli wa mitindo Bi. Asya Idarous Khamsin wakati mwanamitindo huyo alipokua mjengoni huko kwa ajili ya kufanyiwa mahojiano.
Image may be NSFW.
Clik here to view.
Clik here to view.

Kutoka kushoto ni Saluma Kssim, Maryam, Aisha Yahya wakiwa katika picha ya pamoja mama nguli wa mitindo Asya Idarous Khamsini.