VYOMBO VYA SHERIA NCHINI VYATAKIWA KUTOWEKA PESA MBELE ILI HAKI ITENDEKE KWA WOTE KUANZIA WANANCHI WA KIPATO CHA CHINI HADI WENYE UWEZO
KWAYA YA VIJANA KKKT MAKAMBAKO KANISA LA JOGOO WAKIWA KWENYE MSAFARA WA MAANDAMANO NA VIONGOZI MBALIMBALI KUELEKEA UKUMBI WA SHEREHE KATIKA SIKU YA SHERIA NCHINI
HAKIMU MKAZI WA MAHAKAMA YA WILAYA YA NJOMBE JOHN KAPOKORO ALIYETANGULIA MWENYE SUTI NYEUSI AKIWA NA KATIBU TAWALA MKOA WA NJOMBE JACKSON SAITABAHU
MSAFARA ULIPOKUWA UNAWASILI KATIKA UKUMBI WA SHEREHE VYOMBO VYA ULINZI NA USALAAMA WAKIWA MAKINI KUIMARISHA USALAMA KATIKA SIKU YA SHERIA NA HAO WANAOONEKANA NI ASKARI POLISI HAKIMU MFAWIDHI WA MAHAKAMA YA WILAYA YA NJOMBE MWENYE SUTI NYEUSI WA UPANDE WA KULIA ,NA WAPILI KUTOKA KULIA NI MGENI RASMI MKUU WA WILAYA YA NJOMBE SARAH DUMBA AKIWA KWA NIABA YA MKUU WA MKOA WA NJOMBE DKT REHEMA NCHIMBI,NA WA TATU KUTOKA KULIA NI KATIBU TAWALA MKOA WA NJOMBE JACKSON SAITABAHU. SHEREHE IMEKWISHA ANZA NA HAPA NI BAADA YA MAANDAMANO YA WATUMISHI WA MAHAKAMA ,WANASHERIA NA VIONGOZI MBALIMBALI WA SERIKALI NA WASIYO WA KISERIKALI KUWASILI KATIKA UKUMBI WA SHEREHE MAHAKAMANI HAPO. KWAYA YA VIJANA KKKT MAKAMBAKO KANISA LA JOGOO WAPO KUBURUDISHA HADHARA WAKATI VIONGOZI NA WANASHERIA WAKIJIANDAA KUKAA KWENYE VITI VYAO IKIONGOZWA NA KIONGOZI WA KWAYA YA VIJANA BWANA JULIUS MWAMPEPE KUTOKA MAKAMBAKO.
WAKILI WA KUJITEGEMEA FRANK NGAFUNIKA AKITOA HOTUBA YAKE KATIKA SIKU HII YA SHERIA. MAHAKIMU WA MAHAKAMA MBALIMBALI ZA WILAYA NA MWANZO MKOA WA NJOMBE WAKIWA NA MTENDAJI WA MAHAKAMA MAMA ALIYEVAA MIWANI NDIYE MTENDAJI WA MAHAKAMA MKOA WA NJOMBE
VIONGOZI WA DINI NAO WAKIWA KATIKA SHEREHE HIYO YA SHERIA NCHINI MEZA KUU IKIONGOZWA NA MGENI RASMI MKUU WA WILAYA YA NJOMBE SARAH DUMBA AKIWA KWA NIABA YA MKUU WA MKOA WA NJOMBE DKT REHEMA NCHIMBI. KATIBU WA CCM MKOA WA NJOMBE HOSEA MPAGIKE AKITOA SALAMU KATIKA SIKU YA SHERIA NCHINI AMBAYE AMEITAKA MAHAKAMA NA WANASHERIA NA VYOMBO VYA SHERIA KWA UJUMLA KUTENDA HAKI KWA KILA MMOJA NA KUACHA UBAGUZI WAKATI WA KUSIKILIZA MASHAURI. MWANASHERIA WA SERIKALI AKISOMA TAARIFA KWA NIABA YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI MKOA WA NJOMBE