Kulia ni Afisa Mtendaji wa Kijiji cha Utiga Bwana Patian Mabena Akiwa na Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Utiga Kushoto wakati wa Ziara ya Mbunge wa Jimbo la Njombe Magharibi Kijijini hapo.
Mbunge Lwenge akiwa na Viongozi wa Kata ya Wanging'ombe Mkoani NjombenAlipofika Kuwatembelea Kijijini Humo.
Afisa Mtendaji wa Kijiji cha Utiga Wanging'ombe akisoma taarifa ya Kijiji hicho iliyobainisha Changamoto Mbalimbali Ikiwemo tatizo la Madarasa na Ofisi ya Kijiji.
Wananchi wa Kijiji cha Utiga wakimsikiliza Mbunge wao
Mbunge Lwenge akiwaeleza wananchi wake Juu ya Rasimu ya Katiba Mpya Ambayo Inaingia Kwenye Awamu ya Pili kwa Ngazi ya Wilaya katika
Utoaji Maoni.
Wananchi nao Vijiji wamefanikiwa kupata Rasimu Hizo na Hapa wamekutwa nazo Wakati wa Ziara ya Mbunge wakizisoma.
Hawa ni Baadhi ya Wazee wa Kijiji cha Mayale Wilayani Wanging'ombe wakimsikiliza Mbunge wao.
Aliyesimama ni Mratibu Elimu wa Kata ya Wanging'ombe ambaye katika Ziara ya Mbunge Lwenge amekaimu Nafasi ya Afisa Tarafa ya Wanging'ombe Bi.Rachael Magehema.
Vijana Wakikabidhiwa Mpira wa Miguu na Mbunge wao Mhandisi Gerson Lwenge alipofika Kuwatembelea Katika Ziara yake Jimboni humo.
Akina mama nao walia na Shida ya Maji kwa Mbunge wao Katika Kijiji cha Mayale.
Hawa ni Vijana wa Kutoka Wanging'ombe wakipata Jezi na Mpira kwa ajili ya Ligi ya Wilaya Ikiwa ni Pamoja na Mbunge Lwenge Akisisitiza Juu ya Ongezeko la UKIMWI Wilayani humo.
Na Gabriel Kilamlya.
Ziara ya Mbune wa Jimbo la Njombe Magharibi Ambaye ni Naibu waziri wa Ujenzi Mhandisi Gerson Lwenge imeendelea Kuwa na Mafanikio kwa Wananchi Jimboni Humo Kufuatia kusaidiawa katika Shughuli Mbalimbali za Kimaendeleo Vijijini Humo.
Aidha Mbunge Lwenge ameendelea kupokea taarifa za Miradi Mblimbali Vijijini Humo na Kuchangia Kiasi Cha Fedha katika Kuchochea Shughuli Hizo zinazofanywa na Wananchi Ikiwemo Ujenzi wa Shule,Visima vya Maji Ofisi za Serikali Pamoja na Zahanati.
Julai 12 mwaka Huu Mbunge Lwenge Ametembelea vijiji vya Utiga na Mayale ambako alishuhudia Shughuli Mbalimbali zinazofanywa na Wananchi Hatimaye kuchangia Shilingi Milioni Mbili na Nusu katika Kusukuma Shughuli Hizo.
Akiwa katika Kijiji cha Utiga Kata ya Wanging'ombe Mkoani Njombe amechangia Shilngi Milioni Moja na Nusu katika Kuchochea Ujenzi wa Madarasa mawili na Ofisi moja Katika Shule ya Msingi Utiga huku Shilingi Laki Tano akitoa Kwa ajili ya Ujenzi wa ofisi ya Kijiji.
Patian Mabena ni Afisa Mtendaji wa Kijiji cha Utiga ambaye alisoma Taarifa ya Shughuli za Ujenzi katika Kijiji Hicho na Kubainisha Changamoto Mbalimbali Ikiwemo Kushindwa kukamilisha Ujenzi wa Shule ya Msingi ambapo Mbunge Huyo amechangia.