Haya ni Maandamano ya Wanafunzi wakishinikiza Kulipwa Fedha yao ya Field kabla ya Chuo Hicho Kuridhia Malipo Hayo.
Huu ni uthbitisho wa kupokea Fedha hizo leo na sio kama walivyo kuwa wakidai wanafunzi kuwa Chuo kilitunza Fedha zao katika (Fixed deposit)
Dr. Tuli Kassimoto
Huu ni uthibitisho kutoka Bodi ya Mikopo wakati walipo anza kufanya malipo kwa ajili ya wanafunzi .
IMETOLEWA NAÂ
UTAWALAÂ
CHUO KIKUU CHA TEOFILO KISANJI