Quantcast
Channel: GABRIEL KILAMLYA
Viewing all articles
Browse latest Browse all 2276

r.i.p MAMA Prof Jay

$
0
0

 HALI  ILIVYOKUWA NYUMBANI KWA PROFESA JAY, ULIPO MSIBA WA MAMA YAKE. 

 

Mama  mzazi  wa  Msanii Profesa Jay  amefariki dunia  usiku  wa  kuamkia  leo  baada  ya  kugongwa  na  gari  maeneo  ya  mbezi  juu  jijini  Dar  alikokuwa  anaishi  na  mwanae.
Habari  zinadai  kwamba, marehemu Bi. Rosemary Manjara  Haule  aligongwa na gari akiwa  anavuka barabara kuelekea  dukani  mida ya saa mbili  na  kwamba  baada  ya  kugongwa  wasamaria  wema walimkimbiza  hospitali  ya  Tumbi  kwa  kutumia  bajaji ambako  mauti  ilimkuta  huko .


Viewing all articles
Browse latest Browse all 2276

Trending Articles