Wanafunzi wakimsubiri mwalimu ili kuweza kuwafundisha somo huku wakiwa wamekaa katika vipande vya mawe ambapo hali kama hiyo huwakumba wanafunzi wanaosoma shule zilizopo pembezoni mwa wilaya hapa nchini hukumb wa na hali hiyo jambo mara chache hutokea kwa shule zilizopo maeneo ya mijini.Mwalimu akifundisha wanafunzi wakati wa masomo ya kila siku baada ya kupandika ubao katika mti wa mbuyu na eneo hilo kuegezo darasa iliradi watoto kupata elimu ya msingi.