Wanafunzi wa Mpechi Sekondari Wakiendelea na Mdahalo Huo Live
Wanafunzi wa Joseph Mbeyela Sekondari Wakiendelea na Mdahalo Huo
Kwa Udhamini Mkubwa wa PSI Tanzania Uplands Fm Wanakuletea Mdahalo Huo Live Toka Mpechi Sekondari.
MADA
Na Gabriel Kilamlya Njombe
"Je Maambukizi ya Virusi Vya Ukimwi Kwa Vijana Yanaweza Kuepukika?"
Fuatilia Mdahalo Huo Kupitia www.uplandsfm.co.tz
Mdahalo Unakuja Ikiwa Imebaki Siku Moja Kituo cha Radio Uplands Fm Kutoka Njombe Tz Kwenda Kuhitimisha Tamasha Kubwa la Umoja Kwanza Mkoani Njombe Baada ya Kuzunguka Kwa Mafanikio Makubwa Katika Wilaya Zote za Mkoa wa Njombe
Wanafunzi